Wanawake nyie endeleeni kuringa tu

Wanawake nyie endeleeni kuringa tu

hahahaha... my first marriage proposal hapa JF.... if we are to go with theme of the post, it means, i'll have to accept your offer aisee.

On a serious note though... it is sad that women have to go through life constantly fighting stereotypes.

It feels good to make any "FIRST" to your woman, and so with your Yes its safe to say I'm your E-Hubby

Stereotypes are no where close to an end cause ata we apa usha stereotype men chakufanya you only need to stand out and be the odd one
 
It feels good to make any "FIRST" to your woman, and so with your Yes its safe to say I'm your E-Hubby

Stereotypes are no where close to an end cause ata we apa usha stereotype men chakufanya you only need to stand out and be the odd one

Hahahaha... that i have stereotyped men? by generalizing? Did I do that?
Well, I understand, some women also comform to these stereotypes...
Any way E-Husbad, if i did that, next time i will exercise caution... not to jump on the bandwagon...
 
inashangaza sana siku hizi binti anaulizwa umri anajibu mimi bado mdogo sana nina 24 tu sasa 24 ni mdogo wewe.

ushauri tu peak ya msichana ni 20-24 umri huu chagua wanaume unaowataka wewe, after that utachambuliwa kama nguo za mtumba sokoni.
 
I wish hii argument ya wadada ingekuwa kweli huku mitaani, nahisi tu kuwa wengi wamesahau kuishi uhalisia.
Wiki mbili zilizopita niliattend sherehe moja ya kuvishana pete, OMG! Hadi unaona huruma...virtual life has taken a toll, uhalisia wa maisha unaanza kupotea...
 
I wish hii argument ya wadada ingekuwa kweli huku mitaani, nahisi tu kuwa wengi wamesahau kuishi uhalisia.
Wiki mbili zilizopita niliattend sherehe moja ya kuvishana pete, OMG! Hadi unaona huruma...virtual life has taken a toll, uhalisia wa maisha unaanza kupotea...
Naombapo unisimulie kidogo ulichoobserve kwenye hiyo Sherehe mwee
 
Hayafai kusemwa huku, wenyewe wakipita (kama wapo) watajisikia vibaya. Ila sioni utetezi wa mitandaoni ukiendana na maisha tunayoishi (huku mabwepande).
Kweli kiongozi..mana watu wanataka kuishi maisha wanayoangalia kwenye tamthilia za nje na Hizi modern books zinazohasisha usawa wa kila mtu hadi kwenye kubeba mimba..nina Jamaa angu ndoa yake imedumu miezi 7 tu mwanamke anataka waishi maisha kama ya kina Beyonce kila wanachokifanya wawajuze watu kupitia social media wanazotumia ila sasa hivi wanarushiana vijembe kama wote wanawake nimejitahid kumpa darasa huyu jamaa hatimae kaelewa na anafanya yake huyo mwenzie ndo anakiachia kidude watu wajitafunie amesahau kuwa wana mtoto ambae anajifunza kupitia kwao
 
Angalia wanawake walivyo wengi kuliko wanaume lakini wanavyoringa sasa just imagine wanaume ndo wangekua wengi afu wao wachache
Acheni waringe tuu maana wakizigawa papuchi ovyo ovyo mtawasema malaya. Wanawake tunzeni papuchi zenu siyo njugu hizo.
 
Hahahaha... that i have stereotyped men? by generalizing? Did I do that?
Well, I understand, some women also comform to these stereotypes...
Any way E-Husbad, if i did that, next time i will exercise caution... not to jump on the bandwagon...

Umm yeah E-wife you did but pfshhh!! I don't mind cause that's what makes me special from others

And please hun remind all other women they can be like you, they don't need favors ili wa stand out
 
Acha tuendelee kuwakaza mana wengine wameandikiwa watakuwa nyumba ndogo milele labda atapata bahati ya kuolewa mbinguni..single mamaz watamu ila mpunguze masharti na ukauzu wa kijinga
Single mamaz ndio wa kutumia bcs hawana complications.
The main problem with girls is that wanatoka na wanaume ambao wapo level yao n men wanawakimbia wanawake ambao wapo nao level moja.
Example mwanaume mwenye 34 atarud kwa girl mwenye 28-31
Bila kusahau financials,life style n social status.
The problem n kwa hao madem wanaojifanya wapo juu then wanatafuta walio juu wenzao majority wanaishia kuwa single mothers in their 30's.
Kwa wadada marriage is currently a problem bcs kuna wadada wengi sana wapo 35-42 hawajaolewa.na ukiwaangalia wana stress sana yani ikitokea kuna social invent kama harus.
Standards wanazoweka zipo juu.
 
I thnk its some1nz personal decision. Mfano mi nataka mtoto tu basi.... mwanangu.... kazi yangu.... maisha yangu na biashara zangu. Kwangu sioni ulazima na wala sioni kwamba bila mume i will be any less of a woman. Ndio kuna wanaokutana na a different situation ila its 2016 i thnk ppo should have an open mind.
Sizitaki mbichi hz.
Umekuwa mtawa ww ndoa ni part ya maisha hzo habar za u bachelor futa akilin mwako.
 
Kabisa my dear,kwa nyakati za sasa ndoa isiwe priority...ikitokea sawa lakini sio nguvu zako zote uziweke kwenye kutafuta mume,kamilisha mipango yako,kama ndoa ipo ipo tu huko mbeleni
Sizitak mbich hz
 
na ukiwaangalia wana stress sana yani ikitokea kuna social invent kama harus.
Standards wanazoweka zipo juu.
Kuna mijitu inapenda kujifariji.

You'll see whatever you want. You seem to be the desperate one, wanting these women so bad but you can't have them.


Mtu kajiendea kwenye harusi, kisa hajaolewa watu mnajipa moyo kuwa yuko desperate.

EBO!
 
Back
Top Bottom