Wanawake na vigezo wanapotafuta wanaume

Wanawake na vigezo wanapotafuta wanaume

wanawake wanajikuta wana vigezo vya kufa mtu pindi wanapotafuta mwanaume. utaskia nataka mwanaume awe na tumbo flat spendi vitambi, awe hensam, awe na kifua, awe na mwili kidogo umejaajaa, awe anajua mapenz na awe anahudumia.
ila chenyewe ukikicheki ni kifupi, kitufe balaa, tumbo ndi, ngozi ngumuuu, tako limedondoka, anavuja jasho akitembea barabarani, ana u.t.i, anavuja damu, vidole vya miguuni vimeachana achana kama vinacheza kidali, sio mzuri, ana fungus ukeni, ana pua ka pinda, usiku akilala anakoroma, asubuhi akiamka udenda umejaa kwenye shuka, hela hana.
wanawake wa namna hii kuweni wapole, mnapotaka vizuri na sisi pia tunataka vizuri. haiwezekani vyote unavyotaka mi nnavyo ila wewe huna lolote halafu nku-keep. tafuta level zako.
c230ce1be0673a0a46a4d2cc25be0672.jpg
 
Hahahaa. Huenda ikawa. Na pia hajajua siki zote kumuelimisha mtu hakutaki jazba yaani inatakiwa uongee kwa staha na kama kueleweka unaeleweka tu.
Ukisha ongea kwa jazba hapo hapo ndyo watu wanaposimamia kukukosoa sasa sizani kama bi Hindu analifahamu hili
 
Kakisimama ukutani utakapita ukidhani ni kreki, maana ni kembamba halafu kana irregular shape!

Na twingine tubonge kiasi kwamba ukicheza nako mziki utasema unasogeza kabati taratibu pekeako.
Hahahahahaaa Mungu anakuona aisee
 
Eti wamekusikia, mmmhhh unataka kutuaminisha kuwa hujaguswa na kitu ata kimoja??? Shukru jf kutunza watu msiojulikana lasivyo ungesutwa [emoji125][emoji125][emoji125]
Huwa nikisoma unachoandika najikuta nacheka...kwa unachokiandika kama ndio upo hivi hivi nje ya ID ya bigmind nakupa pole
 
sijakataa vigezo lazma mtu awe navyo. swala hapa sio kwamba vigezo visiwepo ila ujiangalie na wewe vigezo unavyo? haiwezekan we unataka kua na mimi kwasababu nakidhi vigezo vyako ila wewe mwonekano wako kwangu usiwe unajalisha.

wewe ni kibonge kupindukia na mtindi umeshuka mpaka kitovuni ila unanambia mimi hiiii bebi fanya mazoezi bwana kitambi kimeanza kuota. yani wewe unataka nikuelewe na ubonge nyanya wako ila mimi kuota kakitambi kidunchu tu kwako nongwa.
wanawake bwana!!!!
Hahaha hahaha hahahaha
 
Back
Top Bottom