Wanawake na vigezo wanapotafuta wanaume

Wanawake na vigezo wanapotafuta wanaume

Mwanamke anapokukataa , dawa yake sio kumponda. Unachotakiwa kukifanya ni kuendeleza jiitihada za kuji upgrade kimaisha na sio kukosoa kosoa wenzako.

Unapomkosoa unapoteza energy nyingi ambayo ulitakiwa kuitumia kwa faida ya kuboresha maisha yako binafsi.
umekurupuka bro hujaelewa mada.
 
Yani kwa uandishi huo nimehisi bado ni mvulana mdogo unayekuwa kwa hiyo ni haki yako kuyasema hayo
 
Wanawake wanajikuta wana vigezo vya kufa mtu pindi wanapotafuta mwanaume utaskia nataka mwanaume awe na tumbo flat spendi vitambi, awe hensam, awe na kifua, awe na mwili kidogo umejaajaa, awe anajua mapenzi na awe anahudumia.

Ila chenyewe ukikicheki ni kifupi, kitufe balaa, tumbo ndi, ngozi ngumuuu, tako limedondoka, anavuja jasho akitembea barabarani, ana u.t.i, anavuja damu, vidole vya miguuni vimeachana achana kama vinacheza kidali, sio mzuri, ana fungus ukeni, ana pua ka pinda, usiku akilala anakoroma, asubuhi akiamka udenda umejaa kwenye shuka, hela hana.

Wanawake wa namna hii kuweni wapole, mnapotaka vizuri na sisi pia tunataka vizuri. haiwezekani vyote unavyotaka mi nnavyo ila wewe huna lolote halafu nku-keep. tafuta level zako.
Mkuu you made my day
 
Hapo anavuja damu umeharibu hata hoja imekosa mashiko. Kumbuka wanawake wote wanapita ktk hali hiyo mama yako mzazi, Dada zako, shangazi zako, na wanao utakaowapata. Waheshimu wanawake haitokupunguzia kitu ktk maisha yako. Mitandao ya kijamii isikutoe ufahamu.
 
Duuh!! Hii ni shidaa wamesikia jamani ila mm naona wanawake wote ni wazuri ila inategemea na matunzo na kujipenda wengine hawajipendi ila pia na wso wanataka wanaume wanaojipenda
 
Kakisimama ukutani utakapita ukidhani ni kreki, maana ni kembamba halafu kana irregular shape!

Na twingine tubonge kiasi kwamba ukicheza nako mziki utasema unasogeza kabati taratibu pekeako.
hahahaaa...
 
Hapo anavuja damu umeharibu hata hoja imekosa mashiko. Kumbuka wanawake wote wanapita ktk hali hiyo mama yako mzazi, Dada zako, shangazi zako, na wanao utakaowapata. Waheshimu wanawake haitokupunguzia kitu ktk maisha yako. Mitandao ya kijamii isikutoe ufahamu.
umezungumza vizuri sasa mimi naweza nikamuelewa na hilo tatizo alilonalo nikamtreat vizuri kabisa, tatizo linakuja pale anapojisahau na kuanza kutaka kunibadilisha mimi niwe perfect wakat yeye hapo kavaa pedi imejaa tomato na sio tatizo la kuisha leo wala kesho.
 
Duuh!! Hii ni shidaa wamesikia jamani ila mm naona wanawake wote ni wazuri ila inategemea na matunzo na kujipenda wengine hawajipendi ila pia na wso wanataka wanaume wanaojipenda
sawa. ila mkuu kama umeelewa vizuri hapa nazungumzia wanawake wanaojiona bab kubwa na kushindwa kujishusha na kutaka vitu vizuri wakati wao hawana qualities zinazojitosheleza. kwa mfano unakua na mwanamke anakwambia bebi nenepa basi kidogo umekua mwembamba sana, ila yeye ukimwambia bebi pungua basi uwe ka flavian matata mana unaonekana kama kipipa, analalamika humpendi jinsi alivyo.
umeona ambavo hawajielewi.
 
Hiki ndio kinachosababisha jukwaa la Love connect lionekane halina maana. Yaani watu wakikutana wakakuta sio vile walivyokuwa wakitarajia........watu wanaanza kudhalilishana.
Jamani kukutana na mtu mtandaoni ni pata potea, ukipata unayeona anakufaa shukuru, ukikuta hakufai kausha, yanini kuanza kutoa mapovu?
Lakini Wewe utaki tukutane
 
Back
Top Bottom