Wanawake na vigezo wanapotafuta wanaume

Wanawake na vigezo wanapotafuta wanaume

[emoji54] dada acha tu nseme maana wamezidi sanaa
Kwan wakivaa stara tu vizuri si tutawaoa sida iko wapi mpaka kila siku kutuvalia vinguo vya mpira tu?
Asalam.alaikum dada lakin
Hahaaa. Haya kaka kama ni hivyo hakuna shida.

Wa aleykum salaam kaka. Kwema?
 
Kakisimama ukutani utakapita ukidhani ni kreki, maana ni kembamba halafu kana irregular shape!

Na twingine tubonge kiasi kwamba ukicheza nako mziki utasema unasogeza kabati taratibu pekeako.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji115] [emoji115] [emoji115] aiseee umeua mkuuu
 
Sasa huyo mdada anataka mwanaume anaejua mapenzi,atamjuaje kua anajua mapenzi kabla hajafanyanae?nakama kigezo nihicho siitabidi afanye mapenzi na wanaume wengi ili kwenye hao wengi ndio ampate mwenye kuyaweza hayo mapenzi? sasa nisaidieni huyo hatakua MALAYA kweli? wanasema kufanya mapenzi na wanaume wengi ni UMALAYA! - tafakari -
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kitumbo ndi daah alaf tufupi ni tugomvi, vimekata body tena ukute kanatokea kule kiliko dondokea kimondo
Ndugu huku kwenye kimondo umepiga IKUKU [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom