Wanawake na vigezo wanapotafuta wanaume

Wanawake na vigezo wanapotafuta wanaume

Mbona hawatokei dawa imewaingia hii daaa aisee umewaza nini mkuu

bro ushawahi kuwa na madem wawili mmoja wa kishua mwngine wa kawaida af huyu wa kawaida akija kwako hafanyi lolote zaidi ya kulala na kucheki movie ila huyu wa kishua anakupikia na kukufulia?

hivi huyu wa kishua si ndo ilibidi awe na nyodo kuliko huyu mwenzangu na mimi? af kidume ukichukua maamuzi ya kumpiga chini anaanza kulialia.

yani huyu wa kishua anakua humble af wa kiswazi anajikuta high quality balaa. anaboa bro.
 
Hiki ndio kinachosababisha jukwaa la Love connect lionekane halina maana. Yaani watu wakikutana wakakuta sio vile walivyokuwa wakitarajia........watu wanaanza kudhalilishana.
Jamani kukutana na mtu mtandaoni ni pata potea, ukipata unayeona anakufaa shukuru, ukikuta hakufai kausha, yanini kuanza kutoa mapovu?
 
bro ushawahi kuwa na madem wawili mmoja wa kishua mwngine wa kawaida af huyu wa kawaida akija kwako hafanyi lolote zaidi ya kulala na kucheki movie ila huyu wa kishua anakupikia na kukufulia?
hivi huyu wa kishua si ndo ilibidi awe na nyodo kuliko huyu mwenzangu na mimi? af kidume ukichukua maamuzi ya kumpiga chini anaanza kulialia.
yani huyu wa kishua anakua humble af wa kiswazi anajikuta high quality balaa. anaboa bro.
Pole sana mkuu naona umesahau ile methari inasema maskini akipata matako hulia mbwata wa kishua anaona kawaida wa uswazi anaona kapata
 
Pole sana mkuu naona umesahau ile methari inasema maskini akipata matako hulia mbwata wa kishua anaona kawaida wa uswazi anaona kapata
wa uswazi akija kwako na kukufanyia kazi anajiona kawa beki tatu. na ukimwomba akusaidie anaona unamnyanyasa kweli, ila huyu wa kishua hadi deki anapiga na juice ya tropical mageton anakuja nayo.
sielewi kwanini madem wenye low quality wanajikuta expensive af hawa expensive wanakua kawaida.
 
Vidole vya mikononi kam mafungu ya tangawizi.
images.jpg

Duhhh....
 
Hahaha wakianza kukujibu untag.
Halafu ukute ana kanguo ka mtoko kamoja tu ka mpira vile vya kubana kila weekend out anako
Halafu anakwambia anataka mwanaume mvaa mchomeko chewuuu
Ha ha ha ha ha me tuna shida sana
 
Usishangae mkuu. Ni hulka yetu binadamu kupenda vile vitu viupendezavyo moyo. Na ndiyo maana tumeumbwa na tamaa halafu wachoyo. Tunatofautiana katika viwango vya kuendesha hizo hisia tu.
 
Back
Top Bottom