Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,042
- 126,057
Hahahaaaa. Emmyta kaingiaje jamaani. DuuhHa ha ha ha ha ha, kila akistuka K inajamba
cc
emmyta
Hahahaaaa. Emmyta kaingiaje jamaani. DuuhHa ha ha ha ha ha, kila akistuka K inajamba
cc
emmyta
Sema wewe rafiki. Mapungufu yapo na kila mtu anayo ila saa nyingine tunavumiliana tu.Naona mwanaume wa dar anawachamba kina dada
Nahisi Huyo jamaa hana tofauti na ile Michele inayoimbaga taarabu maana Jamaa ameongea kama bibi hinduSema wewe rafiki. Mapungufu yapo na kila mtu anayo ila saa nyingine tunavumiliana tu.
Sasa kupovuka huku napata mashaka na muonekano wa baadhi ya watu humu ujue.
Hili ni tatizo kwa wanaume wa Dar tu my dear sisi wengine wala hatuna shida na mtu!Sema wewe rafiki. Mapungufu yapo na kila mtu anayo ila saa nyingine tunavumiliana tu.
Sasa kupovuka huku napata mashaka na muonekano wa baadhi ya watu humu ujue.
Eti wamekusikia, mmmhhh unataka kutuaminisha kuwa hujaguswa na kitu ata kimoja??? Shukru jf kutunza watu msiojulikana lasivyo ungesutwa [emoji125][emoji125][emoji125]Kwa hili povu lazima utakuwa team kiba..ila ni bora umelitoa kabla hujalala manake mapovu huwa sumu sa zingine
Ila wamekusikia
Wadudu?? Mungu baba muumbaji akusamehe bure.naona kiamaa
wanajijua kama wao wabovu ndo mana wanang'ang'ania. tatizo linakuja pale unapopuuzia ile kasoro yake na kumchukulia kibinadam na kumfanya awe comfortable. basi anajisahau anaanza kujitutumua. wajinga sana hawa wadudu, ni kuwapiga chini tu hamna namna.
Ndiyo wapi huko[emoji23] [emoji23] [emoji23] kitumbo ndi daah alaf tufupi ni tugomvi, vimekata body tena ukute kanatokea kule kiliko dondokea kimondo
Mmeyataka nyie, kwa nini mnayataka yote hayo wakati wenyewe mnanuka Ushuzi wa kwapa?!Ahahahaaaaaa
Naona mnakashfu uumbaji wa Mungu hana banah
Hahahaa. Huenda ikawa. Na pia hajajua siki zote kumuelimisha mtu hakutaki jazba yaani inatakiwa uongee kwa staha na kama kueleweka unaeleweka tu.Nahisi Huyo jamaa hana tofauti na ile Michele inayoimbaga taarabu maana Jamaa ameongea kama bibi hindu
Nami pia nimeanza kuamini aisee.Hili ni tatizo kwa wanaume wa Dar tu my dear sisi wengine wala hatuna shida na mtu!
Hahaaaa. Nimejikuta nacheka.Mleta mada ebu nenda kapate supu ya kongoro kwa mama avijawa kisha urudi hapa nikupe vipande vyako
Jaman we acha dhambi kwan wakat unamfatilia mwanzo ulikuwa umwon alivyo?? mpka ukataka kumpga kibut si vizur hvyo mkuuDah hatari sana! nishawahi kuwa na manzi fulani hivi machizi wakawa wananitania eti tumebadilishana sura! hahaha nashukuru aseee wazazi wake walihamishwa kikazi maana nilikuwa namuonea huruma kumpiga kibuti cha mbavu!