Wanawake na vigezo wanapotafuta wanaume

Wanawake na vigezo wanapotafuta wanaume

mwingine unakuta anatoa uchafu mweupe kwenye uuke, kanaumwaumwa kila siku. na ye pia anataka perfect guy. ni shida asee
Mmh basi naww umezidi kuokoteza sana hao wote wenye u.t.i,kuvuja damu,cjui uchafu mweupe na fangasi umekutana nao halafu unakuja kuwasema humu looh,unao kutana nao ndio type zako.
 
Hivi vile vitu vyeupe kumbe ni uchafu
b8577eef354e42acafe1e09e0959a463.jpg
 
Wengine wana RANGI NYINGI mwilini kama upunde wa mvua,,nyekundu,, kijani,,,blue,,njano....halafu hiki kioo ndy kinawadanganya....
wengine wana michirizi ya sidiria mabegani hadi mgongoni ila ye hamtaki mwanaume mwenye kovu hata moja.. hawa viumbe ni unbelievable ndugu yangu. nikikutana nao ni kupiga tu na kutupa.
 
Mmh basi naww umezidi kuokoteza sana hao wote wenye u.t.i,kuvuja damu,cjui uchafu mweupe na fangasi umekutana nao halafu unakuja kuwasema humu looh,unao kutana nao ndio type zako.
hapana ni wazuri huwezi kuamini kama wana hayo matatizo. majibu mwisho wa siku unayapata kitandani. majanga.
 
Mwanamke anapokukataa , dawa yake sio kumponda. Unachotakiwa kukifanya ni kuendeleza jiitihada za kuji upgrade kimaisha na sio kukosoa kosoa wenzako.

Unapomkosoa unapoteza energy nyingi ambayo ulitakiwa kuitumia kwa faida ya kuboresha maisha yako binafsi.
 
sijakataa vigezo lazma mtu awe navyo. swala hapa sio kwamba vigezo visiwepo ila ujiangalie na wewe vigezo unavyo? haiwezekan we unataka kua na mimi kwasababu nakidhi vigezo vyako ila wewe mwonekano wako kwangu usiwe unajalisha.

wewe ni kibonge kupindukia na mtindi umeshuka mpaka kitovuni ila unanambia mimi hiiii bebi fanya mazoezi bwana kitambi kimeanza kuota. yani wewe unataka nikuelewe na ubonge nyanya wako ila mimi kuota kakitambi kidunchu tu kwako nongwa.
wanawake bwana!!!!
 
Back
Top Bottom