Wanawake na vigezo wanapotafuta wanaume

Wanawake na vigezo wanapotafuta wanaume

Kakisimama ukutani utakapita ukidhani ni kreki, maana ni kembamba halafu kana irregular shape!

Na twingine tubonge kiasi kwamba ukicheza nako mziki utasema unasogeza kabati taratibu pekeako.
Unasogeza kabati peke yako[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mmmh. Vigezo lazima viwepo bwanaaaa. Haijalishi tuna mionekano ya namna gani.

Pia usisahau hakuna aliyejiumba na ingekuwa tumejiumba wenyewe pasingetosha hapa kwa sababu sidhani kama kuna mtu angetaka kuwa na muonekano wa hovyo hovyo.
 
Dah hatari sana! nishawahi kuwa na manzi fulani hivi machizi wakawa wananitania eti tumebadilishana sura! hahaha nashukuru aseee wazazi wake walihamishwa kikazi maana nilikuwa namuonea huruma kumpiga kibuti cha mbavu!
 
Chura ya mwendokasi kama hii![emoji116][emoji53][emoji53][emoji53]
 
Attachments

  • %40pote_kutamu.jpg
    %40pote_kutamu.jpg
    50.5 KB · Views: 29
wanajijua kama wao wabovu ndo mana wanang'ang'ania. tatizo linakuja pale unapopuuzia ile kasoro yake na kumchukulia kibinadam na kumfanya awe comfortable. basi anajisahau anaanza kujitutumua. wajinga sana hawa wadudu, ni kuwapiga chini tu hamna namna.

Punguza ukali wa maneno basi mkuu kama kueleweka utaeleweka tu. Khaaaaaa.
 
Hahaha wakianza kukujibu untag.
Halafu ukute ana kanguo ka mtoko kamoja tu ka mpira vile vya kubana kila weekend out anako
Halafu anakwambia anataka mwanaume mvaa mchomeko chewuuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Mmh. Kakaaaa.

[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Mmmh. Vigezo lazima viwepo bwanaaaa. Haijalishi tuna mionekano ya namna gani.

Pia usisahau hakuna aliyejiumba na ingekuwa tumejiumba wenyewe pasingetosha hapa kwa sababu sidhani kama kuna mtu angetaka kuwa na muonekano wa hovyo hovyo.
sijakataa vigezo lazma mtu awe navyo. swala hapa sio kwamba vigezo visiwepo ila ujiangalie na wewe vigezo unavyo? haiwezekan we unataka kua na mimi kwasababu nakidhi vigezo vyako ila wewe mwonekano wako kwangu usiwe unajalisha.

wewe ni kibonge kupindukia na mtindi umeshuka mpaka kitovuni ila unanambia mimi hiiii bebi fanya mazoezi bwana kitambi kimeanza kuota. yani wewe unataka nikuelewe na ubonge nyanya wako ila mimi kuota kakitambi kidunchu tu kwako nongwa.
wanawake bwana!!!!
 
Hahaha wakianza kukujibu untag.
Halafu ukute ana kanguo ka mtoko kamoja tu ka mpira vile vya kubana kila weekend out anako
Halafu anakwambia anataka mwanaume mvaa mchomeko chewuuu[emoji23][emoji23][emoji23]
dah mkuu mi pia nshawahi kua nae wa namna hio. alikua anakuja mageton kila siku na tyt nyeusi inang'aaa yani habadilishi. na wigi flani la gold limevurugika hata kulichana halichani.
 
sijakataa vigezo lazma mtu awe navyo. swala hapa sio kwamba vigezo visiwepo ila ujiangalie na wewe vigezo unavyo? haiwezekan we unataka kua na mimi kwasababu nakidhi vigezo vyako ila wewe mwonekano wako kwangu usiwe unajalisha.

wewe ni kibonge kupindukia na mtindi umeshuka mpaka kitovuni ila unanambia mimi hiiii bebi fanya mazoezi bwana kitambi kimeanza kuota. yani wewe unataka nikuelewe na ubonge nyanya wako ila mimi kuota kakitambi kidunchu tu kwako nongwa.
wanawake bwana!!!!

Ukishaona mtu ana vigezo vyake basi jua kwa upande wake pia yeye anavyo.

Hizo nyingine mbwembwe tu hazina mashiko. All in all vigezo lazima viwepo na kaa ujue mpaka anapatikana mwenye vigezo ninavyotaka basi jua na yeye ameridhika na jinsi nilivyo.

Upo Kaka Mapovu! Hahahaaaaaaa.
 
we unadhani kila tunaedet nae tumeridhika na jinsi alivyo? tunatakaga tugonge tusepe.
 
we unadhani kila tunaedet nae tumeridhika na jinsi alivyo? tunatakaga tugonge tusepe.
Kama shida yako ni kugonga na kusepa basi ni haki yako kukutana na ulivyokutana navyo. Pole sana aiseee.
 
Back
Top Bottom