Wanawake na vigezo wanapotafuta wanaume

Wanawake na vigezo wanapotafuta wanaume

Ahahahaaaaaa
Naona mnakashfu uumbaji wa Mungu hana banah
Hapa chanzo ya hii mada ni tabia zenu baadhi ya wanawake, laiti huyu asingefanyiwa mbaya asingeleta hii mada.
Ili kuepusha mambo kama haya ninyi wanawake aache tabia kama hii na mtambue kuwa Mungu anaumba tofauti tofauti.
 
Wanawake wanajikuta wana vigezo vya kufa mtu pindi wanapotafuta mwanaume utaskia nataka mwanaume awe na tumbo flat spendi vitambi, awe hensam, awe na kifua, awe na mwili kidogo umejaajaa, awe anajua mapenzi na awe anahudumia.

Ila chenyewe ukikicheki ni kifupi, kitufe balaa, tumbo ndi, ngozi ngumuuu, tako limedondoka, anavuja jasho akitembea barabarani, ana u.t.i, anavuja damu, vidole vya miguuni vimeachana achana kama vinacheza kidali, sio mzuri, ana fungus ukeni, ana pua ka pinda, usiku akilala anakoroma, asubuhi akiamka udenda umejaa kwenye shuka, hela hana.

Wanawake wa namna hii kuweni wapole, mnapotaka vizuri na sisi pia tunataka vizuri. haiwezekani vyote unavyotaka mi nnavyo ila wewe huna lolote halafu nku-keep. tafuta level zako.
Duh!
 
Yote kheri Mwifwa ili mradi hatunyang'anyani uhai sioni kama kuna tatizo mwache mtu atoe la moyoni mwake ila akumbuke akiba ya maneno mikosi huwa tunaitengeneza wenyewe kwa kutumia vinywa vyetu na aliwazalo mtu ndilo litakalo mtokea.
 
Tafsiri ya mapenzi ya dhati bado inatupiga chenga sana.
Maana mengine haya tunayoyalalamikia ni baadhi tu ya vitu lakini haviwezi kutoa maana ya Mapenzi ya dhati.
Ukimpenda mtu kwa dhati sidhani kama uumbwaji wake unaweza kukwamisha hilo
 
Wanawake wanajikuta wana vigezo vya kufa mtu pindi wanapotafuta mwanaume utaskia nataka mwanaume awe na tumbo flat spendi vitambi, awe hensam, awe na kifua, awe na mwili kidogo umejaajaa, awe anajua mapenzi na awe anahudumia.

Ila chenyewe ukikicheki ni kifupi, kitufe balaa, tumbo ndi, ngozi ngumuuu, tako limedondoka, anavuja jasho akitembea barabarani, ana u.t.i, anavuja damu, vidole vya miguuni vimeachana achana kama vinacheza kidali, sio mzuri, ana fungus ukeni, ana pua ka pinda, usiku akilala anakoroma, asubuhi akiamka udenda umejaa kwenye shuka, hela hana.

Wanawake wa namna hii kuweni wapole, mnapotaka vizuri na sisi pia tunataka vizuri. haiwezekani vyote unavyotaka mi nnavyo ila wewe huna lolote halafu nku-keep. tafuta level zako.
Alooo wamekusikia bila shaka
 
Tafsiri ya mapenzi ya dhati bado inatupiga chenga sana.
Maana mengine haya tunayoyalalamikia ni baadhi tu ya vitu lakini haviwezi kutoa maana ya Mapenzi ya dhati.
Ukimpenda mtu kwa dhati sidhani kama uumbwaji wake unaweza kukwamisha hilo
Kabisa
 
wanajijua kama wao wabovu ndo mana wanang'ang'ania. tatizo linakuja pale unapopuuzia ile kasoro yake na kumchukulia kibinadam na kumfanya awe comfortable. basi anajisahau anaanza kujitutumua. wajinga sana hawa wadudu, ni kuwapiga chini tu hamna namna.
Hapo anajiisahau anaanza kivimba
 
Hapo anavuja damu umeharibu hata hoja imekosa mashiko. Kumbuka wanawake wote wanapita ktk hali hiyo mama yako mzazi, Dada zako, shangazi zako, na wanao utakaowapata. Waheshimu wanawake haitokupunguzia kitu ktk maisha yako. Mitandao ya kijamii isikutoe ufahamu.
Mwambieeeee
 
Du... Comment za humu ndan ni shida ngoja niendelee kuzipitia
 
Mbona mtoa mada umecharukwa hivyo? Mpk kutuita majina mabaya mabaya? Ww ungemshauru huyo kibonge nyanya wako kwa ustarabu tuu. Do not include all women in here
 
dah inaonyesha una hasira sana mkuu..wanawake ndivyo walivyo
 
Back
Top Bottom