Wanawake na style mpya ya kujifungua

Wanawake na style mpya ya kujifungua

Napinga 100%
Mimi nimezaliwa kwa njia ya kawaida and am bright, watoto wangu wawili nimewaza kwa njia ya kawaida, mtoto wangu mkubwa hajawahi kushika chini ya namba tatu darasani, mdogo bado hajaanza shule bt he is clever


Labda watoto ndo sio bright bidada/mkaka

Sasa wewe ungezaliwa kwa upasuaji ungekuwa BRITGHER.....LOL
huo ni ukweli, uliza hata kwa madaktari ndugu, kupinga tuu haisaidii
 
Most ladies wanakip shape, kukwepa matumbona mengineyo hasa kupanuka kwa maku......
ila hawafikirii madhara baadae.... unakuwa weak huwez fanya tena kazi nzito...

wana try to kip husbands who are human and never satisfied and putting their life at risk......
health yako ni more important plzz ladies,

mimi ctaki hata kusikis hiyo kitu........
 
Wanawake wa mjini wanasafiri kwa magari, vijijini wanatembea.

Wanawake wa mjini ni dhaifu.

This is a function of resources. You should also talk about the numbers of womem dying during childbirth vis a vis the rural urban divide.
 
pamoja na vyakula kuchangia, siku hizi mtu anamwambia gyno mie nataka operation, ukiuliza sababu mtu anakwambia sitaki kuharibu maumbile yangu ya chini, mwingine anasema sitaki kusikia uchungu, sijui ndo udijitali, kazi ipo
Vyakula wanavyo kula wa mjini vinasababisha washindwe kupush
 
jamani operation sio nzuri mm ndugu yangu huwa anapresha akiwa mjamzito na huwa kwenye hatari ya kupata kifafa cha mimba hivyo watoto wote ni kisu, huwa anasikitika sana mana aliyejifungua kawaida wiki moja tu ya kuchoma maji anakuwa fiti yy sasa wiki sita hadi nane, operation sio nzuri kbisaa
Km unaelewa madhara yake hutakaa ushabikie,wether ufanyiwe ulaya o bongo,itabaki kuwa oparation na maumivu ni yaleyale....inshort sio kitu kizuri!
...by the way mi nimeelezea hali halisi na cjasema namlazimisha m2 coz ni miili yao na madhara wanapata wao!...nafikiri ungeangalia point za mhim hapo(kuliko kudil na neno ulimbukeni)
...na sio suala la hela 2,kuna watu wana hela wana uwezo wa kwenda hata huko nje kufanyiwa op,bt wanaelewa effect zake ndo maana hawafanyi,unless ana tatizo
 
Salaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam,

Kati ya wajawazito 20 wanaofika mahospitalini kwaajili ya kujifungua 16 wanajifungua kwa operation na hii hutokea sana ktk private hospital.

Juzi juzi hapa nilisafiri kwenda kijiji cha mkoa flani hivi. I was there for two wks. Nilishuhudia wajawazito zaidi ya saba wakijifungua kwa njia ya kawaida. Ilinibidi nifanye kautafiti juu ya swala hili la ongezeko mara dufu ya watu wanaojifungua kwa operation . Nilichogundua ni kwamba Vijijini watu kwa asilimia 99.99 hujifungua kwa njia za kawaida na mijini asilimia78.32 ya wanawake hujifungua kwa njia ya operation.

Je hii inaashiria kuwa wanawake wa mijini ni dhaifu kiasi kwamba wanashindwa kujifungua kwa njia za kawaida, ama kuna sababu nyingine?
Na je hii haiwezi ikawa ni ujanja wa mahosipitali kujipatia pesa zaidi? kwasababu operation inagarama zake ati!

Mapozi tu!
 
Sasa nimeshaanza kupata picha kwanini operation zimeongezeka! kumbe nikutokana na ongezeko la watu kutumia 0713...0714...0715......
yaani pmoses kati ya sababu zote we ndo umeona hili ndio kubwa!!!kwa taarifa yako nao wanajifungua kawaida wakienda clinic siku hizi wanaulizwa kabisa sometimes wenye michezo michafu mje kabisaa na kanga zenye msukumiziwe huko, dogo anatokea mbele na huwa wanahonga manesi ili wawahudumie vzr.
Lakini pia C/S imezidi kwa sababu ya hii kampeni ya kupunguza vifo vya mama na watoto wakati wa uzazi,kwa hiyo ukiwa na complication kdg tu hawachelewi wala hawana utani na hiyo hali.
ila wengine mpaka yawafike ndo mtajua operation haina uhusiano mkubwa na.........hata kutaja mi huwa naogopa!malizia Pmoses
 
Tatizo wanawake wa mjini wamekuwa mambo mengi mfano Mambo ya kuliwa tigo, nguvu ya binadamu yoyote ya kupush ipo kiunoni na ili usukume lazima ukaze ------ sasa utawezaje kusukuma kama tundu liko wazi? Pili aina ya vyakula wanavyopendelea kula Vichips vyakula vyenye mafuta mengi yenye Cholestoral, over protein matokeo yake mtoto anakuwa mkubwa kupita kiasi kiasi cha kushindwa kupita kwenye njia ya kawaida.
Ukisasa kama walivyochangia wengine mtu anaona kama kujifungua kwa njia ya kawaida atatanua papuchi mojakwa moja. Sababu ya mwisho isiyo na mantiki sana kukwepa kuzaa watoto wengi kwa kisingizio kwamba operation mwisho watoto wa3
 
hii inaashiria kuwa wanawake wa mijini ni dhaifu kiasi kwamba wanashindwa kujifungua kwa njia za kawaida.
There you have it

Not necessarily.
Kuna mwanadada mmoja alisema, hawa akina dada wa mjini wanataka wajifungue kwa operation kwa sababu hizi:-
  1. Kukwepa maumivu wakati wa kujifungua
  2. Sehemu yake ya uzazi ibakie intact kama mwanzo (mnato).
Sasa suala la kuhoji ukweli wa nadharia hizo nawaachia ninyi.
 
Wengine ni kujiendekeza tu kumbe wanaharibu...kuna wenye matatizo ambao kweli inabidi wapasuliwe
 
Not necessarily.
Kuna mwanadada mmoja alisema, hawa akina dada wa mjini wanataka wajifungue kwa operation kwa sababu hizi:-
  1. Kukwepa maumivu wakati wa kujifungua
  2. Sehemu yake ya uzazi ibakie intact kama mwanzo (mnato).
Sasa suala la kuhoji ukweli wa nadharia hizo nawaachia ninyi.

Sababu ya 2 nadhani ina mashiko
 
Back
Top Bottom