Idimi
Platinum Member
- Mar 18, 2007
- 15,625
- 11,635
Sababu ya 2 nadhani ina mashiko
Models wengi ndio ambao hupenda sababu hiyo ya pili, kwa sababu wanazozijua wao wenyewe. Nimeisikia hiyo live kabisa kutok kwa mwanadada ambaye kajifungua kwa njia hiyo. Nilistaajabu sana, ingawa yeye wala hakuonekana kushtuka kufanya hivyo.