Mtoa utafiti hujagundua kuwa hawa wadada wa siku izi hawanyonyeshi pia.
So unamaanisha Victoria Beckham ni limbukeni? Maana aliamua mwenyewe kwamba watoto wake wote watazaliwa kwa surgery, na ana 4 kids, wapi Eva longoria na wengineo wengi..
Most of Best health Centre around the world wana advice surgery ili kumlinda mtoto asipate matatizo kama ya kubanwa kichwa,, hiyo ni modern way..
So maisha kila mtu anachagua ya kuishi, wewe ukiamua kwa ku push sawa na ukiamua kwa surgery sawa, ila usimponde mwenzako kuwa limbukeni, maana dunian kila mtu kaja peke yake na ataondoka peke yake, hakuna mwenye haki ya ku mjudge mwenzake
Tatizo linakuja kwetu sisi wanaume, mke akishafanyiwa operation inabidi usubiri karibu miezi 4 au 6. Na hata baada ya hapo basi tunalazimika ku-duu kwa uangalifu sana, tusije tukapasua mishono maana wengine huwa wanalima haswaaa..!!!mtoa mada na baadhi ya wachangiaji mmepotoka ama niseme hamjui ukweli juu ya hai halisi.
kwanza nianze hivi ukiwa na wanawake 2 wote wanataka kujifungua na mpaka wanaingia sec stage ya labor vichanga vinacheza tumboni, na kati yao hawa wawili mmoja akawa anajifungua kawaida na mwingine anajifungua kwa upasuaji basi anayejifungua kwa upasuaji anauhakika wa kupata mtoto akiwa hai kwa 100%, lkn huyu wa kusukuma chances za kupata mtoto ni 50%.
ningeweza kuattach document moja hapa ningekuwekea uone. huko vijijini wanakozaa kwa njia ya kaaida ndiko kunakoongoza kwa vifo vya wakina mama na watoto. sababu kuu ikiwa ni upotezaji wa damu, magnjwa ya maambukizi na huduma mbaya za mama na mtoto.( hapa tunaweka upatikanaji wa huduma za upasuaji, nk)
kujifungua kwa upasuaji ni option ambayo binafsi naikubali hasa kama mzazi anataka kupata mtoto wake salama na pia anataka azaliwe akiwa hana congenital deformity. lkn haina maana kwamba watoto wote wanaozaliwa kwa kawaida wanatoka wakiwa na hizi deformity la hasha.
Kama mama anaonekana kabisa hawez kuzaa kwa kawaida ikiwemo uwezo wa yy mama kuvumilia makali ya labor stages basi option ambayo ni njema ni bora CS ikawa ni priority.
kwa wale wanaomudu kuzaa kwa kawaida basi hii option waitumie ili tu wakwepe mshono na matumbo makubwa lol!!
nihitimishe kwa kusema kwamba sio kwamba wanaozaa kwa CS ni wazembe ila ni njia salama ya kupunguza vifo vya wamama na watoto wao.
ikumbukwa magonjwa kama diabetes gestosis, hypertension, na anemia ni magonjwa ambayo yanasumbua sana akina mama wajawazito hapa bado hujaongelea magonjwa ya maambukizi kama HIV, hivyo ni muhimu sana kwa mama mjamzito kuripot kliniki mara tu anapogundua kwamba ni mjamzito na akubali kufanya vipimo vyote muhimu. mama mjamzito asikae nyumban kwa kuassume kwamba atajifungua salama tu hata kaa asipokwenda kliniki.
Mtoa utafiti hujagundua kuwa hawa wadada wa siku izi hawanyonyeshi pia.
Mtoa utafiti hujagundua kuwa hawa wadada wa siku izi hawanyonyeshi pia.
Sifuri saba moja tatu(0713)sifuri saba moja nane(0718) mambo vipiiiiiiiiiiiiiiii......!!!!unganisha ufahari kwamba kazaa kwaoperation uswahilini wata msifu anahelaSalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam,
Kati ya wajawazito 20 wanaofika mahospitalini kwaajili ya kujifungua 16 wanajifungua kwa operation na hii hutokea sana ktk private hospital.
Juzi juzi hapa nilisafiri kwenda kijiji cha mkoa flani hivi. I was there for two wks. Nilishuhudia wajawazito zaidi ya saba wakijifungua kwa njia ya kawaida. Ilinibidi nifanye kautafiti juu ya swala hili la ongezeko mara dufu ya watu wanaojifungua kwa operation . Nilichogundua ni kwamba Vijijini watu kwa asilimia 99.99 hujifungua kwa njia za kawaida na mijini asilimia78.32 ya wanawake hujifungua kwa njia ya operation.
Je hii inaashiria kuwa wanawake wa mijini ni dhaifu kiasi kwamba wanashindwa kujifungua kwa njia za kawaida, ama kuna sababu nyingine?
Na je hii haiwezi ikawa ni ujanja wa mahosipitali kujipatia pesa zaidi? kwasababu operation inagarama zake ati!
biashara yakujifungua kawaida tuachie wenyewe kila mtu abebe msalaba wake mwenyewe mimi kuliko operation bora hii maku ichanike nianze moja!!
mim siwez kubali mpenz wangu ajifungue kwa kupush.
Sitak mambo ya kukanga hiyo kitu
Mh hili nalo neon................. mie nimejifungua BADILI TABIA na bahati mbaya nilikuwa among the Clients wa hizo mnazoziita Private hospitals, nilifanyiwa operation ikiwa ni 2 weeks kabla ya muda wa kujifungua na sababu kuu walinambia kuwa motto hakuwa na maji kwenye mfuko wa uzazi (Ingawa sikuelezwa nikaelewa hayo maji yeliisha vipi) So nikaishia kupasuliwa, sikuwahi kuujua uchungu wa mwana zaidi ya kusoma kwenye maandishi na kusikiza kwenye simuliziHivi mnaochangia hapa mmewahi kujifungua au ushabiki tu???
Mada hii ingefaa ichangiwe na waliozaa kuliko kuleta hear say
Aisee wewe ndio unanifumbuwa macho, jana nilikwenda kumtembelea Sisterdu mmoja amejifunguwa lakini kwenye maongezi yetu alikuwa anaweka mkazo kwamba amejifunguwa kwa operation, sasa ndiyo nimeelewa, Duniani kweli kuna mambo.Sifuri saba moja tatu(0713)sifuri saba moja nane(0718) mambo vipiiiiiiiiiiiiiiii......!!!!unganisha ufahari kwamba kazaa kwaoperation uswahilini wata msifu anahela
Matumiza ya tigo kwa Wanawake wa mijini yameongezeka maradufu, sasa watapata wapi nguvu ya kukaza ile misuli wakati siku hizi usipokula tigo unaonekana wa kuja?