Wanawake na style mpya ya kujifungua

Wanawake na style mpya ya kujifungua

Yaa bt most of them ni kwaajili ya majukumu...so mtt anapata maziwa ile miezi 3 ya mwanzo,baada ya hapo ni maziwa ya kopo!(lyf tyt,sio kwamba wanapenda)
Ninao wajua mimi sio life tight, na kila anayejifungua utasikia anasema hana maziwa ya kutosha ndo maana hanyonyeshi. Napata wasiwasi na hili maziwa kuwa machache
 
Tigo sidhani kama ina anythjng to do with kujifungua maana binti wa mama mwenye nyumba yangu bila tigo haondoki kitandani tena nikiwa bize basi ilikuwa at least mara 14 kwa wiki lkn mbona kajifungua juzi kwa njia za kawaida?
dah..... kumbe hii nayo sifa?
 
Sifuri saba moja tatu(0713)sifuri saba moja nane(0718) mambo vipiiiiiiiiiiiiiiii......!!!!unganisha ufahari kwamba kazaa kwaoperation uswahilini wata msifu anahela

wewe umewah kuzaa??
mkeo ulimla iyo 0713....0718...........0712 na nyinginezo??
omba radhi kwa wanawake wote umetukosea adabu kabisa.........unaonyesha ni jinsi gani usivyokuwa na heshima kwa mama na dada zako..........
 
Hata mabinti wanaochezewa timu pinzani wanapata tabu sana kujifungua kwa njia ya kawaida so wanafanyiwa upasuaji.

pia kuna ishu kama udogo wa nyonga kwa mwanamke. Au kama hajakomaa viuongo vizur.

kuna wengine wanasababu ambazo labda madaktari wanaweza wakathibitisha, kwani kuna mdada mmoja ni family friend nami anadai kuwa kujifungua kwa operation kuna faida mbili mhm kwake!
1:mtoto atakuwa brighter si kama aliyezaliwa kwa njia ya kawaida (bila operation)
2:Ile makitu itabaki tight hivo mbaba ataendelea kula kitu natural
huyu mdada anatolea mfano hata watoto wa ndugu yake ambao wamezaliwa wote kwa operation kuwa wana akili kuzidi wale wa kwake aliojifungua kwa njia ya kawaida-na cha ajabu nae mwaka jana ilibidi akapigwe kisu!
Mimi naamini si kweli hasa kuhusu uwezo wa akili wa mtoto unatokana na njia aliyotumia mama kujifungua.
 
wewe umewah kuzaa??
mkeo ulimla iyo 0713....0718...........0712 na nyinginezo??
omba radhi kwa wanawake wote umetukosea adabu kabisa.........unaonyesha ni jinsi gani usivyokuwa na heshima kwa mama na dada zako..........

jamani we mwanamke mbona umekuwa mkali ivo???si mmnaojiita mademu wa mujini ndio habari yenu hiyoo..!!??au ni mekosea wap,kwamba kwasababu gari lina enda mbele kunakipindi lina rudi nyuma..sasa wakati wakuzaa ...!!!
 
Kuhusu mtoto kuwa bright, ni KWELI kabisa
and the reason behind ni kwa kuwa mtoto anaezaliwa kawaida maranyingi anapata distubance kichwani
wakati wa kusukumwa nje, so kwa kuwa kichwa na viungo vyote bado ni laini sana
anajikuta anapata usumbufu kwa ubongo pia,
madhara yanatofautiana na wengine hufikia mpaka kuwa na disabilities za kiakili.

Mtoto akizaliwa kwa upasuaji, anakuwa na akili sana maana kichwa chake hakikusumbuliwa wakati anazaliwa.
Madaktari wanaweza kukuthibitishia hili.

kuna wengine wanasababu ambazo labda madaktari wanaweza wakathibitisha, kwani kuna mdada mmoja ni family friend nami anadai kuwa kujifungua kwa operation kuna faida mbili mhm kwake!
1:mtoto atakuwa brighter si kama aliyezaliwa kwa njia ya kawaida (bila operation)
2:Ile makitu itabaki tight hivo mbaba ataendelea kula kitu natural
huyu mdada anatolea mfano hata watoto wa ndugu yake ambao wamezaliwa wote kwa operation kuwa wana akili kuzidi wale wa kwake aliojifungua kwa njia ya kawaida-na cha ajabu nae mwaka jana ilibidi akapigwe kisu!
Mimi naamini si kweli hasa kuhusu uwezo wa akili wa mtoto unatokana na njia aliyotumia mama kujifungua.
 
Kuhusu mtoto kuwa bright, ni KWELI kabisa
and the reason behind ni kwa kuwa mtoto anaezaliwa kawaida maranyingi anapata distubance kichwani
wakati wa kusukumwa nje, so kwa kuwa kichwa na viungo vyote bado ni laini sana
anajikuta anapata usumbufu kwa ubongo pia,
madhara yanatofautiana na wengine hufikia mpaka kuwa na disabilities za kiakili.

Mtoto akizaliwa kwa upasuaji, anakuwa na akili sana maana kichwa chake hakikusumbuliwa wakati anazaliwa.
Madaktari wanaweza kukuthibitishia hili.

Siamini juu ya hili
 
Sasa nimeshaanza kupata picha kwanini operation zimeongezeka! kumbe nikutokana na ongezeko la watu kutumia 0713...0714...0715......
 
nakuunga mkono!!
hili tatizo la wadada hasa ndio waliobobea katika tabia hii ya kufanya upasuaji kwa kujifungua, kuna vingi vinachangia, moja wapo ni uoga walionao, pili: wanaona wanaweza haribu shape za nanii zao japo sikweli! lingine kubwa ni kuficha aibu za michezo michafu wanayo fanya, nafikiri mnaijua hiyo michezo michafu...
 
wewe umewah kuzaa??
mkeo ulimla iyo 0713....0718...........0712 na nyinginezo??
omba radhi kwa wanawake wote umetukosea adabu kabisa.........unaonyesha ni jinsi gani usivyokuwa na heshima kwa mama na dada zako..........

mwalimu shikamoo! hili haliwahusu wanawake wote! ila kwa sasa hiyo desturi imekuwa kubwa mno! waweza fuatilia kujiridhisha...
 
Imekuwa ni fashion siku hizi, mdada anaenda kwa dr kabisa anamwambia ampangie siku ya kwenda kupasuliwa.

Namshukuru Mungu alinipa ujasiri wa kuvumilia uchungu na nguvu za kusukuma kwa watoto wangu na nikatoka leba salama kabisa
 
Napinga 100%
Mimi nimezaliwa kwa njia ya kawaida and am bright, watoto wangu wawili nimewaza kwa njia ya kawaida, mtoto wangu mkubwa hajawahi kushika chini ya namba tatu darasani, mdogo bado hajaanza shule bt he is clever

Labda watoto ndo sio bright bidada/mkaka

Kuhusu mtoto kuwa bright, ni KWELI kabisa
and the reason behind ni kwa kuwa mtoto anaezaliwa kawaida maranyingi anapata distubance kichwani
wakati wa kusukumwa nje, so kwa kuwa kichwa na viungo vyote bado ni laini sana
anajikuta anapata usumbufu kwa ubongo pia,
madhara yanatofautiana na wengine hufikia mpaka kuwa na disabilities za kiakili.

Mtoto akizaliwa kwa upasuaji, anakuwa na akili sana maana kichwa chake hakikusumbuliwa wakati anazaliwa.
Madaktari wanaweza kukuthibitishia hili.
 
Imekuwa ni fashion siku hizi, mdada anaenda kwa dr kabisa anamwambia ampangie siku ya kwenda kupasuliwa.

Namshukuru Mungu alinipa ujasiri wa kuvumilia uchungu na nguvu za kusukuma kwa watoto wangu na nikatoka leba salama kabisa

Hata mm acha ni kupe hongera kwa huo msimamo sahihi ambao unao.
 
nakuunga mkono!!
hili tatizo la wadada hasa ndio waliobobea katika tabia hii ya kufanya upasuaji kwa kujifungua, kuna vingi vinachangia, moja wapo ni uoga walionao, pili: wanaona wanaweza haribu shape za nanii zao japo sikweli! lingine kubwa ni kuficha aibu za michezo michafu wanayo fanya, nafikiri mnaijua hiyo michezo michafu...

Kama sijakosea ni 0653
 
Back
Top Bottom