Wanawake na style mpya ya kujifungua

Wanawake na style mpya ya kujifungua

Salaam,

Kati ya wajawazito 20 wanaofika hospitalini kwa ajili ya kujifungua 16 wanajifungua kwa operation na hii hutokea sana katika private hospital.

Juzi juzi hapa nilisafiri kwenda Kijiji cha mkoa fulani hivi. I was there for two weeks. Nilishuhudia wajawazito zaidi ya saba wakijifungua kwa njia ya kawaida.

Ilinibidi nifanye kautafiti juu ya swala hili la ongezeko mara dufu ya watu wanaojifungua kwa operation . Nilichogundua ni kwamba Vijijini watu kwa asilimia 99.99 hujifungua kwa njia za kawaida na mijini asilimia78.32 ya wanawake hujifungua kwa njia ya operation.

Je hii inaashiria kuwa wanawake wa mijini ni dhaifu kiasi kwamba wanashindwa kujifungua kwa njia za kawaida, ama kuna sababu nyingine?Na je hii haiwezi ikawa ni ujanja wa mahosipitali kujipatia pesa zaidi? kwasababu operation inagarama.

daaah ni kweli mkuu
 
WEngine inasababishwa na kutumia sana mlango ule wa dharura so uwezo wao wa kupush inakuwa mdogo hivyo inalazimika kufanyiwa operation
 
Dada angu alinambia hataki maku itanuke akaenda kujifungua kwa operation
 
yani wanawake wengi wa mijini wanamatatizo sana.. wengine wanadiriki kutumia pesa ili tu wapasuliwe na wengne wanashindwa kuzaa kawaida kwasabab za kujitakia na za kijinga.. visu vtawauwa wamama
 
vijijini lishe ni duni, watoto wanakuwa na uzito mdogo kulinganisha na mjini wanawake wanakula vizuri na kuzidi, so watoto nao wanakuwa ni uzito mkubwa (Big Baby), wanashindwa ku-pushi na hivyo kulazimika kufanyiwa upsuaji.
 
Hapa ni ujinga tu, mbona wake zetu wanajifungua kwa njia ya kawaida tu nambona papuchi zao zipo poa na ukifuatilia unaweza ukute hata papuch za wale ambao hawajajifungua zipo ovyo kabisa!
Labda issue ya kukosa nguvu za kupushi hapo sawa!
 
Je katika hao waliopasuliwa ngapi zilikuwa emergency na ngapi elective?
 
Salaam,

Kati ya wajawazito 20 wanaofika hospitalini kwa ajili ya kujifungua 16 wanajifungua kwa operation na hii hutokea sana katika private hospital.

Juzi juzi hapa nilisafiri kwenda Kijiji cha mkoa fulani hivi. I was there for two weeks. Nilishuhudia wajawazito zaidi ya saba wakijifungua kwa njia ya kawaida.

Ilinibidi nifanye kautafiti juu ya swala hili la ongezeko mara dufu ya watu wanaojifungua kwa operation . Nilichogundua ni kwamba Vijijini watu kwa asilimia 99.99 hujifungua kwa njia za kawaida na mijini asilimia78.32 ya wanawake hujifungua kwa njia ya operation.

Je hii inaashiria kuwa wanawake wa mijini ni dhaifu kiasi kwamba wanashindwa kujifungua kwa njia za kawaida, ama kuna sababu nyingine?Na je hii haiwezi ikawa ni ujanja wa mahosipitali kujipatia pesa zaidi? kwasababu operation inagarama.
[/QUOTE

Asilimia kubwa ya wanawake wamjini wanatumia operation kama njia ya kukomoa Wayne zao wanasahau Kuwa once ukifanyiwa operation ni obovu Wa maisha coz kazi ngumu hutaweza kufanya
secondly kuna wale "hawataki" kuharibu uke wao kwa kuzaa in a normal way so that they can maintain their tightness which is a very poor way of thinking coz uke una mechanisms zake zakurudi in the normal shape after delivery apart from the hot water massage
 
Uliulizwa kama wewe wa kiume ama wa kike,
Sijaona ulipojibu je umekwepa swali ama?
 
Mkuu hapo kwenye "wayne" unamaanisha nini?
 
vijijini lishe ni duni, watoto wanakuwa na uzito mdogo kulinganisha na mjini wanawake wanakula vizuri na kuzidi, so watoto nao wanakuwa ni uzito mkubwa (Big Baby), wanashindwa ku-pushi na hivyo kulazimika kufanyiwa upsuaji.

Wengi mnazungumzia lishe na kushindwa ku push,
Kuna issue ya life style kukaa ofisin siku nzima bila kuwa na mazoez, kijijini jembe kwa kwenda mbele,
Kuna issue ya code around the neck.
Kuna mambo mengine kama mtoto hashuki instead anapanda juu.
Nyonga kubana,
Njia kutofunguka ilihali chupa ilishapasuka muda kadhaa uliopita,
Mtoto kuwa mkubwa zaidi kiasi kwamba hata njia ikiongezwa haisaidii,
Kondo la nyuma kuwa chini. N.k
Mimi huwa na oppose sana wanaume kujadili hizi mada kama vile ni rahis sana kama kumsukuma mlevi.
Hao wanaoplan operation ni % ndogo sana
 
da wa mjini wengi ni waoga na baadhi ukute walikuwa wanaendekeza ule mchezo wa DAWASCO (Mlango tako) so ku-push inakuwa kazi sana
 
Wanawake wa mujini wanaogopa mashine kutanuka ndo maana wanaogopa kujifungua kwa njia ya kawaida
 
Mwanamke.akiwa mjamzito huwa kuna tarehe ya matarajio ya kujifungua.Je mtu akipitiliza huwa ni ni tatizo au sio tatizo,kama sio tatizo huwa anaweza pitiliza au wahi kujifungua kwa siku ngapi? Kwa mfano mtu ambae kwa kadiri ya report ya Ultra sound ilibidi ajifungue february 21, makadirio ya nesi ni February 23,Lkn mpaka sasa hajajifungua na hakuna dalili je hii inakuaje? Mtoto tumboni yupo active kama kawaida.
 
Back
Top Bottom