Wanawake na style mpya ya kujifungua

Wanawake na style mpya ya kujifungua

wanawake wa mjini ni so delicate kutokana ma machemical wanayokula ndo maana wanashindwa kujifungua bila operation
 
LAKINI operation inafanya nanihino iendelee kuwa tight,that s advantage kwa wanaume
 
C kwe nal Nina wacwac na research yako...I wish upate experience kidoogo uchungu was wiki 2 mtoto hatoki.ukitoka pale uje post tena saw a eeeh
 
wanaogopa k kupanukaaa so mtu anaenda kuweka oda kbsa dat docta ampangie cku. Mimi hili nimlishuhudia kwa zaid ya watu watatu. Mungu nisaidie sitaki operation.

Kupanuka kwa K hakuna madhara makubwa kama kufanyiwa operation. Lkn hata K ikipanuka si huwa inajirudi
 
nilishawai kusikia wanawake wamekaa mahali wako saloon wakisema ukijifungua kwa njia ya kawaida maumbile ya uchi unabadilika kabisa lakini ukijifungua kwa oparation mashine inabaki kuwa mnato vile vile nikacheka sana siku hyo ila sijafanikiwa kufanya utafiti...ila njia sahihi nayo ifahamu mie ni kwa njia ya kawaida ambayo hata Mungu anaitambua
 
Inamaana wataka kutuambia kuwa wanaochanika wakati wa kujifungua wana maku dhaifu na lege lege? .
waulize wenyewe mimi sijui ndugu yangu wengine ni matatizo ya kiafya ,njia kutofunguka etc
 
Salaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam,

Kati ya wajawazito 20 wanaofika mahospitalini kwaajili ya kujifungua 16 wanajifungua kwa operation na hii hutokea sana ktk private hospital.

Juzi juzi hapa nilisafiri kwenda kijiji cha mkoa flani hivi. I was there for two wks. Nilishuhudia wajawazito zaidi ya saba wakijifungua kwa njia ya kawaida. Ilinibidi nifanye kautafiti juu ya swala hili la ongezeko mara dufu ya watu wanaojifungua kwa operation . Nilichogundua ni kwamba Vijijini watu kwa asilimia 99.99 hujifungua kwa njia za kawaida na mijini asilimia78.32 ya wanawake hujifungua kwa njia ya operation.

Je hii inaashiria kuwa wanawake wa mijini ni dhaifu kiasi kwamba wanashindwa kujifungua kwa njia za kawaida, ama kuna sababu nyingine?
Na je hii haiwezi ikawa ni ujanja wa mahosipitali kujipatia pesa zaidi? kwasababu operation inagarama zake ati!
Wa mjini wengi wanataka wabaki kuwa ''FORM TWO'' miaka yote.... ndoyo maana wanapenda sana kujifungua kwa operation
 
waulize wenyewe mimi sijui ndugu yangu wengine ni matatizo ya kiafya ,njia kutofunguka etc

sawa, ntaendelea kuuuliza uliza na wadau wengine maana "ukiiga nyaku kwa tembo unaweza pasuka mnduku".
 
biashara yakujifungua kawaida tuachie wenyewe kila mtu abebe msalaba wake mwenyewe mimi kuliko operation bora hii maku ichanike nianze moja!!

Duhhh!!! mpare wangu una mambo weye
 
Uwe na adabu, wakati vifo vya mama na watoto vinahitajika kupunguzwa wewe bado unadhani ni sifa kuzaa kwa kusukuma?

Grow up!

Afu Konnie siku hizi sijui umekuwaje...hadi nakuogopa!!!
 
LAKINI operation inafanya nanihino iendelee kuwa tight,that s advantage kwa wanaume
Ni advantage kwa mwanamke pia, maana atazidi kupendwa..... Yaani mi niingie kama naingia mlango wa sebuleni, hakuna panaponibana... sirudii tena bana... Kitu still picture kwa kiswahili bana....
 
Back
Top Bottom