Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 37,962
Tena ukute zimecharazwa mafuta ya transfoma.... hapo lazima upigwe upasuaji..Chips mayai zinaziba njia ya uzazi ndio maana wengi wana opt opasuaji
Tena ukute zimecharazwa mafuta ya transfoma.... hapo lazima upigwe upasuaji..Chips mayai zinaziba njia ya uzazi ndio maana wengi wana opt opasuaji
alafu nilishakunyima kuniita mpare hunielewi mimi sio mpareeeee nielewe jamani kwanini uniudhiiiiiDuhhh!!! mpare wangu una mambo weye
biashara yakujifungua kawaida tuachie wenyewe kila mtu abebe msalaba wake mwenyewe mimi kuliko operation bora hii maku ichanike nianze moja!!
Ni advantage kwa mwanamke pia, maana atazidi kupendwa..... Yaani mi niingie kama naingia mlango wa sebuleni, hakuna panaponibana... sirudii tena bana... Kitu still picture kwa kiswahili bana....
alafu nilishakunyima kuniita mpare hunielewi mimi sio mpareeeee nielewe jamani kwanini uniudhiiiii
alafu nilishakunyima kuniita mpare hunielewi mimi sio mpareeeee nielewe jamani kwanini uniudhiiiii
Mambo nimmengi hata TiGos inachangia
Mimi siielewi Hospital ya Lugalo. Ukiachilia hili swala la kujifungua kwa operationi. Hawa wamama wanaojifungua kwa njia za kawaida. Asilimia 80 wanaojifungua Lugalo lazima waongezwe njia, kuchanwa na nyembe.
Sasa hili ni system ya jeshi au kitabibu.
Afu Konnie siku hizi sijui umekuwaje...hadi nakuogopa!!!
Ha ha ha, niko poa tu
Huyu ananiudhi, ujue enzi zetu akina mama wengi sana walikuwa wakati wa kujifungua, kuna Mwalimu wangu nikiwa darasa la 5 alifariki, niliumia mno. Kipindi hicho hakuna facilities za kufanya operation.
ukitaka usiongezwe njia ni hela yako tu mkuu nilimzaa mtoto wa 5kg sikuchanika wala kuongezewa njia pesa iliongea tena kidogo tu kwa nesi unamwambia nsaidie nisiongezwe njia wala kuchaniaka mjini hapa ndugu yangu wewe,unamtupa mkeo kule eti huduma ni bure na kabaimaya chako unarudishiwa bujugwa yako inakuwa over size kwiwkwiwkwiwkwiwkwwiMimi siielewi Hospital ya Lugalo. Ukiachilia hili swala la kujifungua kwa operationi. Hawa wamama wanaojifungua kwa njia za kawaida. Asilimia 80 wanaojifungua Lugalo lazima waongezwe njia, kuchanwa na nyembe.
Sasa hili ni system ya jeshi au kitabibu.