Loh afadhali...:smile-big:Ha ha ha, niko poa tu
Huyu ananiudhi, ujue enzi zetu akina mama wengi sana walikuwa wakati wa kujifungua, kuna Mwalimu wangu nikiwa darasa la 5 alifariki, niliumia mno. Kipindi hicho hakuna facilities za kufanya operation.
ulivyo mwepesi kukariri mzitoo kusahau am sure utarudia tena naukirudia tena ntakuitia mdm utimue mbio tena
unachanganya madawa mkuu hapa hatuzungumzii mawigi etc kila mtu ana uchaguzi wakeHahahaaaa...nimeipenda sana. Binafsi napenda wanawake natural...sio ktk kuzaa tu,ila generally,kuanzia mavazi,jinsi anavosuka,sipendi mawigi na mamake up kibao...sipendi bac tu!
City women are too posh to push.
Uwezo wa pesa unaweza kukupa nafasi ya kuamua aina ya maisha unayotaka kuishi. Victoria Beckham amejifungua watoto wake wote kwa operation, hakuwa na matatizo ya kiafya bali ilikuwa uwamuzi wake. Wanawake wa mjini wasio na uwezo wa kulipia private ceasarian sessions pia wanajifunga kwa njia za kawaida.kinachosababisha ni nini?
biashara yakujifungua kawaida tuachie wenyewe kila mtu abebe msalaba wake mwenyewe mimi kuliko operation bora hii maku ichanike nianze moja!!
Mimi siielewi Hospital ya Lugalo. Ukiachilia hili swala la kujifungua kwa operationi. Hawa wamama wanaojifungua kwa njia za kawaida. Asilimia 80 wanaojifungua Lugalo lazima waongezwe njia, kuchanwa na nyembe.
Sasa hili ni system ya jeshi au kitabibu.
naikumbuka ile muvi ya kanumba ya devil kingdom na preach ya Ramsey kuhusu goddness lilith i.e angel of equality and contraceptions ...wanawake wanaogopa kupanuka k lakin jigjig hawaachi,hii nayo kali.
Salaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam,
Kati ya wajawazito 20 wanaofika mahospitalini kwaajili ya kujifungua 16 wanajifungua kwa operation na hii hutokea sana ktk private hospital.
Juzi juzi hapa nilisafiri kwenda kijiji cha mkoa flani hivi. I was there for two wks. Nilishuhudia wajawazito zaidi ya saba wakijifungua kwa njia ya kawaida. Ilinibidi nifanye kautafiti juu ya swala hili la ongezeko mara dufu ya watu wanaojifungua kwa operation . Nilichogundua ni kwamba Vijijini watu kwa asilimia 99.99 hujifungua kwa njia za kawaida na mijini asilimia78.32 ya wanawake hujifungua kwa njia ya operation.
Je hii inaashiria kuwa wanawake wa mijini ni dhaifu kiasi kwamba wanashindwa kujifungua kwa njia za kawaida, ama kuna sababu nyingine?
Na je hii haiwezi ikawa ni ujanja wa mahosipitali kujipatia pesa zaidi? kwasababu operation inagarama zake ati!
let mi tel u nachoelewa na ninachoona kila siku!
Ulichokiandika hapa ni kweli though cna uhakika na hizo asilimia, bt idadi ya wanajifungua kwa operation inazidi kuongezeka siku hadi siku!
....ss basi kuna makundi haya
1..kuna wenye matatizo ya kiafya(arvs,na magonjwa mengine)
A)hapa kuna ambao mtt anakuwa mkubwa to the extent mama hawez kupush,kutokana na mfano,umbile la mama n.k... so ili kuokoa maisha ya mama na mtt lzm operation
2..kuna ambao wanafanya mapenzi kinyume na maumbile, hawa hawawezi kujifungua kawaida.
3..kuna ambao wanataka wenyewe(tena mi nawafaham wengi tu) eti hawataki kuumwa uchungu,mtt akishakomaa tu dr anamtoa,na wanakuwa na ma dr wao.....mi naona ilimbukeni tu
4..kuna hawa ambao hushauriwa na dr unakuta mtu hana tatizo ila dr kasema,kumbe hajui dr yupo kipesa zaidi(na hii mara nyingi ipo private hosp,sio government)
5..na kuna wale wanaofungwa na nguvu za giza (hapa ni mambo ya imani kidogo ni somo refu linalojitegemea)
...ila inshort ndo hivyo
Kwahiyo unamaanisha ni dhaifu