Tumain
JF-Expert Member
- Jun 28, 2009
- 3,154
- 70
- Thread starter
- #21
Kila la heri dogo...utaweka mikataba mingi sana kwenye maisha yako lol...una muda wa kuweka mikataba mpaka wa kupokea simu ...duh...kweli hiyo sayari mimi niko far from it...Ndiyo maana huwezi kusikia nimeoa, kwa ajili ya mambo kama haya.
Mimi nataka nipokee simu muda ninaotaka, na nisipotaka nisipokee.
Na hata nikioa ndoa yangu haitabadilisha hilo, unajuaje ma schedule na timetable yangu yanaendaje?
Bottom line ni makubaliano katika uhusiano yakoje, kuna wengine hawataki hata hizo cellphone, sasa kama unataka mtu awe reachable all the time hawa wasio na cellphone utasemaje?
My point ni kwamba hizi expectation kwamba mtu atakuwa reachable all the time bila ya kuongea na kukubaliana hivyo haziko realistic, na mnaweza kuwa mnaji set up for disappointments tu.
Watu tunanunua simu kwa ajili ya kurahisha mawasiliano yakiwemo mawasiliano rasmi (business, official) na vilevile mawasiliano ambayo siyo rasmi (informal) kama vile family issues, friends, social life...
wewe kila kitu kwako ni formal lazima iwe na mkataba..duh...