Nimeachwa kosa kutoka nje kupokea Simu ya shoga yake mpenzi wangu

DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
40,485
99,215
Wakuu
Ijumaa usku nmewasili kwa mpenz wangu, nmeacha simu chaji sebleni, Tumewasha mziki mkubwa Kisha tukaelekea chumbani KUFANYA ya KUFANYA.

Baada ya mapumziko ya kipind Cha Kwanza, kainuka kwenda kupasha mchemsho wa viazi tule kabla ya kurud kuendelea na kipind Cha pili.

Akiwa anapasha mchemsho
Simu yangu seblen ikaita akaniita nikapokee simu yangu . Nmeinuka na taulo mpk sebleni na kuchukua Simu yangu Kwenda nayo nje kuongelea maana pale sebleni kulkua na makelele Sana

Nmerudi nashangaa mwenzangu kanuna, kavimba, hataki hata kunipakulia. Nmejipakulia nmekula nmeshiba, namwambia "tuendelee KUFANYA Basi" ananambia Nikafanye na niliekua naongea nae Kwny simu.

Nmeuuliza uljua naongea na Nani?
Anasema ashachungulia aliepiga na kumjua kabla sijaenda kupokea simu yake kua Ni yule shoga Yake Nesi namba yake anaijua. Anasema tuna mahusiano kwann nmeenda kupokelea nje nikiwa na taulo tupu Hofu yangu ilkua Nini.

Nmebaki na mshangao nikaona Hapa nikimbembeleza au kujieleza sn tutakesha Mana hoja zake zote naona hazina mashiko. Huyu labda Hana mudi ya KUFANYA kaamua TU kulianzisha vurumai kusudi ili tusiendelee. Nmevaa na nmeondoka zangu.

Hatujawasiliana jana siku nzima kila mtu kivyake. Leo Saa 1 Asbuh ananitumia malalamiko lukuki ila nikiyasoma yote naona hayana hata mashiko hata kidogo.

Labda wenzangu mnambie kama Ni kosa Kwenda nje kupokea Simu za rafiki zake na wapenzi wenu?

Screenshot_20230625-160120.jpg
Screenshot_20230625-160135.jpg
Screenshot_20230625-160154.jpg
Screenshot_20230625-160201.jpg
Screenshot_20230625-160209.jpg
Screenshot_20230625-160216.jpg
Screenshot_20230625-160229.jpg
Screenshot_20230625-160235.jpg
 
Wakuu
Ijumaa usku nmewasili kwa mpenz wangu, nmeacha simu chaji sebleni, Tumewasha mziki mkubwa Kisha tukaelekea chumbani KUFANYA ya KUFANYA.

Baada ya mapumziko ya kipind Cha Kwanza, kainuka kwenda kupasha mchemsho wa viazi tule kabla ya kurud kuendelea na kipind Cha pili.

Akiwa anapasha mchemsho
Simu yangu seblen ikaita akaniita nikapokee simu yangu . Nmeinuka na taulo mpk sebleni na kuchukua Simu yangu Kwenda nayo nje kuongelea maana pale sebleni kulkua na makelele Sana

Nmerudi nashangaa mwenzangu kanuna, kavimba, hataki hata kunipakulia. Nmejipakulia nmekula nmeshiba, namwambia "tuendelee KUFANYA Basi" ananambia Nikafanye na niliekua naongea nae Kwny simu.

Nmeuuliza uljua naongea na Nani?
Anasema ashachungulia aliepiga na kumjua kabla sijaenda kupokea simu yake kua Ni yule shoga Yake Nesi namba yake anaija. Anasema tuna mahusiano kwann nmeenda kupokelea nje nikiwa na taulo Hofu yangu Nini.

Nmebaki na mshangao nikaona Hapa nikimbembeleza au kujieleza sn atajiona keki Sana Mana hoja zake hazina mashiko. Huyu labda Hana mudi kaamua TU kulianzisha vurumai kusudi. Nmevaa nmeondoka zangu.

Hatujawasiliana jana siku nzima kila mtu kivyake. Leo Saa 1 Asbuh ananitumia malalamiko lukuki ila nikiyasoma yote naona hayana hata mashiko hata kidogo.

Labda wenzangu mnambie kama Ni kosa Kwenda nje kupokea Simu za rafiki zake na wapenzi wenu?

View attachment 2668412View attachment 2668413View attachment 2668414View attachment 2668415View attachment 2668416View attachment 2668417View attachment 2668418View attachment 2668419
THE STORY BOOK 📖
 
Back
Top Bottom