Wanawake na mikopo

Nina microfinance nimeanzisha mim na mwenzangu ambapo kinakuwaga active yaani makusanyo ni kuanzia ijumaa Hadi jpili manake sisi ni watumishi kwenye vyombo vyetu vya ma gwaride na saluti so muda tunapataga weekend ,tumeanza na Wanawake 100 tunasoma upepo kwanza mambo yakiwa mazuri tunarudi kupuliza kipyenga mtaani

Kiukweli Wanawake wana mikopo mingi sana zaidi ya 4 ,unakuta OYA,ASA,Vikoba huko kakopa mara masokoni Kuna michezo Yao kusaidiana Hela ,mbaya zaidi wanakopa kimya kimya na wanasema waume zao wasijue ,ikifika muda wa rejesho wako tayari hata wakupe "tunda kimasihara",ubaya Hadi hati za nyumba wanaacha ,kadi za magari mliyowanunulia wanaacha , furniture za ndani kwa wale waume zao wako nje ya nchi..

Kuna mmoja tulienda kuchukua rejesho weekend tukamkuta peke yake akafungua mlango akaja uchi akasema Hilo ndo rejesho lake kama hatutaki tumuue, alafu ubaya zaidi kwenye hiyo mikopo hakuna Cha maana wanachofanyia zaidi ya kutunzana kwenye sherehe makabati etc

Ubaya kwenye story wakati wa makusanyo ndo utasikia wanasema yule umempa Hela wakati kazi yake kudanga TU Hilo duka Wala sio lake.. kiukweli Wanawake ni changamoto sana na mikopo japo sisi udange ,uwe mwizi ,uwe mwanga rejesho letu tunataka litimie

Kama una mke muwezeshe kiuchumi na mfungulie biashara pia muulize kama ana mikopo kachukua msaidie kulipa itamsaidia kupunguza kufanya maamuzi yasiyo mazuri

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
kwahyo alisema mmuue au mchukue lile lejesho lake naamin hamku muua mlifaid na mm ntafungua microfinance yang
 
Shukrani sana Mike,acha tu some upepo mtaani Kuna hela kama mtaji unao na ukatulia ...

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Hela ipo sana kikibwa wajue ni nani kawakopesha mike na wasikuzoee hata kidogo

Kukopesha kutamu aisee mpaka upigwe hasara basi umetaka wewe mwenyewe hapo bado haujazungumzia heshima ya kuitwa boss na kila mtu kwa wasiojua kazi yako .

Yaani ni raha na starehe tu .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Pole sana
Sina familia ya kulisha Lamomy kwa mangi nikope ili iweje ?

Kinachonisikitisha umeyagusa nje ndani maisha ya boss wangu na jana wakati unaposti vile nilikuwa naye ananipiga mikwara njaa huku najua ana madeni kwa mangi yaani nikajikuta namhurumia sana .

Ila uliongea uhalisia maisha ya watu wa Tamisemi ni tabu tupu wananuka njaa tunanuka njaa japo hatutaki kukubali ukweli wa mambo .

Kwako mzee wangu wao ni wao

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Nina microfinance nimeanzisha mim na mwenzangu ambapo kinakuwaga active yaani makusanyo ni kuanzia ijumaa Hadi jpili manake sisi ni watumishi kwenye vyombo vyetu vya ma gwaride na saluti so muda tunapataga weekend ,tumeanza na Wanawake 100 tunasoma upepo kwanza mambo yakiwa mazuri tunarudi kupuliza kipyenga mtaani

Kiukweli Wanawake wana mikopo mingi sana zaidi ya 4 ,unakuta OYA,ASA,Vikoba huko kakopa mara masokoni Kuna michezo Yao kusaidiana Hela ,mbaya zaidi wanakopa kimya kimya na wanasema waume zao wasijue ,ikifika muda wa rejesho wako tayari hata wakupe "tunda kimasihara",ubaya Hadi hati za nyumba wanaacha ,kadi za magari mliyowanunulia wanaacha , furniture za ndani kwa wale waume zao wako nje ya nchi..

Kuna mmoja tulienda kuchukua rejesho weekend tukamkuta peke yake akafungua mlango akaja uchi akasema Hilo ndo rejesho lake kama hatutaki tumuue, alafu ubaya zaidi kwenye hiyo mikopo hakuna Cha maana wanachofanyia zaidi ya kutunzana kwenye sherehe makabati etc

Ubaya kwenye story wakati wa makusanyo ndo utasikia wanasema yule umempa Hela wakati kazi yake kudanga TU Hilo duka Wala sio lake.. kiukweli Wanawake ni changamoto sana na mikopo japo sisi udange ,uwe mwizi ,uwe mwanga rejesho letu tunataka litimie

Kama una mke muwezeshe kiuchumi na mfungulie biashara pia muulize kama ana mikopo kachukua msaidie kulipa itamsaidia kupunguza kufanya maamuzi yasiyo mazuri

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Halafu tukisema wanawake wa siku hizi wanapenda hela kupitiliza wanakataa. Unakuta demu mmoja ana vikoba viwili,mchezo majina matatu ana mikopo miwili ,kipato chake hakilingani na hizo pressure alizo jitengenezea, so hapo lazima tu atauza indirectly ili apate hela.

Kwa wanawake wa siku hizi katika kumi basi zaidi ya nane wana michezo na vikoba na zaidi ya watano wana mikopo inayo waumiza halafu wengi wao hamna cha maana wanacho fanya kupitia hiyo mikopo,michezo na vikoba .Ndio maana siku hizi ukiomba namba hunyimwi ila jiandae na mizinga.
 
Kuna mmoja huyo Charambe ya Mbagala alinipa namba yake katika kuzungumza akaniambia hajisikii vizuri anahisi kuchanganyikiwa. Nikamuuliza nini shida akanijibu anadaiwa laki 5 anatakiwa marejesho, nikamuuliza aliifanyia nin hiyo pesa akanijibu mambo yake tu

Nikauliza tena, ulifanyia mambo yako ya biashara au binafsi akanijibu binafsi, nikampa hongera. Kidogo akanipiga kizinga cha elfu 5 ya kula nikamjibu sina pesa.
 
Pesa kama haijapelekwa kwa baba mchungaji basi kwa kalumanzila, wanawake karibu wote wanacheza humohumo.......vinginevyo ni kwenye nguo na viatu vipya bila kusahau kucha na nywele.​
 
Nina microfinance nimeanzisha mim na mwenzangu ambapo kinakuwaga active yaani makusanyo ni kuanzia ijumaa Hadi jpili manake sisi ni watumishi kwenye vyombo vyetu vya ma gwaride na saluti so muda tunapataga weekend ,tumeanza na Wanawake 100 tunasoma upepo kwanza mambo yakiwa mazuri tunarudi kupuliza kipyenga mtaani

Kiukweli Wanawake wana mikopo mingi sana zaidi ya 4 ,unakuta OYA,ASA,Vikoba huko kakopa mara masokoni Kuna michezo Yao kusaidiana Hela ,mbaya zaidi wanakopa kimya kimya na wanasema waume zao wasijue ,ikifika muda wa rejesho wako tayari hata wakupe "tunda kimasihara",ubaya Hadi hati za nyumba wanaacha ,kadi za magari mliyowanunulia wanaacha , furniture za ndani kwa wale waume zao wako nje ya nchi..

Kuna mmoja tulienda kuchukua rejesho weekend tukamkuta peke yake akafungua mlango akaja uchi akasema Hilo ndo rejesho lake kama hatutaki tumuue, alafu ubaya zaidi kwenye hiyo mikopo hakuna Cha maana wanachofanyia zaidi ya kutunzana kwenye sherehe makabati etc

Ubaya kwenye story wakati wa makusanyo ndo utasikia wanasema yule umempa Hela wakati kazi yake kudanga TU Hilo duka Wala sio lake.. kiukweli Wanawake ni changamoto sana na mikopo japo sisi udange ,uwe mwizi ,uwe mwanga rejesho letu tunataka litimie

Kama una mke muwezeshe kiuchumi na mfungulie biashara pia muulize kama ana mikopo kachukua msaidie kulipa itamsaidia kupunguza kufanya maamuzi yasiyo mazuri

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app

Kama unafikiri hati ya Nyumba, Doc za magari kwenye mtu mwenye ndoa halali kuwa navyo ni sifa, Ngoja ashindwe kulipa uone kama vina msaada ku recover hela less than 1m.
 
Wapo wengi sana, hela sijui wanazielekezaga wapi, kuvaa? Kupendeza?
Waje wajibu
Lamomy Hannah Joannah Amehlo Chakorii Kelsea Tayana-wog Lenie Depal To yeye Nuzulati Aaliyyah
binti kiziwi
Mkuu utakuta wengi wao wana beba majukumu ya Nyumbani kwao!! Yani utakuta binti ana fosi kumaliza umasikini wa wazazi wake na ndugu za uko kijijini, badala ya kujipanga yeye na Mume wake kujenga uchumi wao kwaajili ya kizazi Chao cha sasa na cha baadae, Mabinti kama hawa ndiyo maana wafanya uchumi wa kwenye ndoa unakuwa mgumu kukua kufikia uchumi wa kati.

Sent from my SCV48 using JamiiForums mobile app
 
Los santos mnakosea kuwakopesha wake za watu bila signature za waume zao. Siku mkifuatilia rejesho kwa mke wa mtu, akashindwa kurejesha, mtachukua assets alizoweka rehani bila mume wake kufahamu?
Mkuu kisheria inakubalika kweli mfano mke kuweka dhamana TV, Friji, na kabati wakati hivyo vitu risiti zimeandikwa Jina la mume na siyo Jina la mke, Mume si ana weza kuzuia vitu kuuzwa?

Sent from my SCV48 using JamiiForums mobile app
 
Sasa mtu anakopa individual mume wake sisi anatuhusu nin? Pia sisi tunachukua asset za mwanamke anazofanyia biashara mfano vifaa vya saluni au duka ,pia Kwa wale ambao wanaume wao wako nje ya nchi sisi tunabeba vitu mwanamke alivyoweka rehani so hayo mambo ya kumjua mume naona Sasa itatubidi tuanze kuzingatia napo ni ustaarabu tumeamua tufanye manake wanaume wenzetu tunawaonea huruma sana ....

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Sasa mna uhakika gani hivyo vitu vya huyo mkopaji?

Sent from my SCV48 using JamiiForums mobile app
 
Sina familia ya kulisha Lamomy kwa mangi nikope ili iweje ?

Kinachonisikitisha umeyagusa nje ndani maisha ya boss wangu na jana wakati unaposti vile nilikuwa naye ananipiga mikwara njaa huku najua ana madeni kwa mangi yaani nikajikuta namhurumia sana .

Ila uliongea uhalisia maisha ya watu wa Tamisemi ni tabu tupu wananuka njaa tunanuka njaa japo hatutaki kukubali ukweli wa mambo .

Kwako mzee wangu wao ni wao

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Pole yake, ndio maisha akomae
 
Najuta kuwakopesha wanawake manake wanashindwa kulippa matokeo yake wananipa K tunamalizana....UTI kila siku ndiyo gonjwa langu
 
Naona leo mmeamua kuwasema dada zangu kabisa nina dada zangu wawili hata uwaambie nini hawaachi hii mikopo sijui michezo. Ni miaka na miaka wanadaiwa na madeni yao hayaishagi hata ukiwasaidia wakapunguza unakuta tena wana madeni mengine mapya..

mi sasa hivi nawaangaliaga tu wanalalamika weeeee nawaangalia tu mana nimesha washauri waachane na mikopo hawasikii..

na hawana hata maendeleo yaani hata biashara zao zinakufa sbb ya mikopo.. ni wana stree full time ukipokea simu zao maongezi yao marejesho tu

hii mikopo ni aina nyengine ya ulevi katika jamii yetu
 
Wanawake kupenda mikopo ni kama wanaume kubett ,ni ulevi mkubwa na hakuna cha maana wanachofanya ili mradi awe anazunguka na kukutana na watu
Ila wapo hiyo michezo wanafanyia vya maana ni wachache sanaa
 
Back
Top Bottom