Wanawake na magari

Kwa hili neno langu si sheria, wewe sema wataka lipi atiii?

hahahahahaa kwa style hii lazima uitwe pedejeee watu8, au ndo utakuwa kama yule jamaa anayemwambia demu say my name baby, say my name, hadi demu alipotaja jina la jamaa kiufasaha ndo akaanza kuhonga, take this for no reason, take this for shopping, take this for blah blah anamwaga mibunda ya dolari tuu mweeeh

sukari ya warembo weeeeh wacha warembo wafaidi sukari yako kaka.
 

 
Hahah...we si wakimbia hata joggin hutaki

Wafanya nichungulia kwa my nissan halafu waishia kupata krashi...

 
Wengine hata kuosha gari ni issue yeye anapenda kutumia tu kuosha mwanaume ndio apeleke carwash.

umeona eeehh hakuna kitu napenda kama kulipeleka gari langu kuoga yaani huwa nawapelekesha wale waosha magari hadi wameshanizoea ikitoka kuoshwa safiiii yaaani I love my car kwakweli
 
1. Kwanza, hongera kwa kuwa tumejua unamiliki gari...

2. Pili, si kila jambo ulijualo wewe wengine wanafahamu na ndio maana hata vidole vya kiganjani havifanani...

3. Tatu, hivi siku hizi hufanyi tena mazoezi ya kukimbia hadi morocco?

4.pamoja na crash zote hizo bado hujaolewa,washakusikia huna mume
 

sikuweza kufanya hayo as sikuwa kwenye nafasi ya kuomba kuchelewa kazini kwa kumbadilishia tairi mtu, la ingekuwa ni gari yangu imepata shida. Nilikuwa nawahi kazini ingenikuta ni muda ambao let say narudi home na sina kitu cha kuniharakisha niendako ningetoa msaada tuu.
 
Hahah...we si wakimbia hata joggin hutaki

Wafanya nichungulia kwa my nissan halafu waishia kupata krashi...

hahahahahaaaa
crush sasa hivi ziko kwenye jogging maana nimeona nissan inazua balaaa saivi nakimbia tuu kuna fellas nakutana nao huko kwenye kukimbia jioni mmmhhh we acha tuu, come this way ujionee mambo maana hii njia ya posta morocco kuna wadada wachokozi, mbona watu kwenye foleni wanakomaga, ukiona mdada anajogg non stop kutoka posta headphones masikioni ndo mie
 
si wanataka 50/50 nimemwambia sister akiharibu gari asithubutu kunitafuta atengeneze mwenyewe ili 50/50 ikamilike :angry::angry:
 
Mkuu labda tungejua kwanza hilo gari amelinunua kwa hela halali au kwa "kutokukalia uchumi"!

Am independent woman, everything in my name nimegharamia mwenyewe with my own money. Siombi mtu sitegemei mtu thank God nina uzima afya tele viungo sawia mwilini nafanya kazi napata hela natumia nitakavyo. Na tena ukisema halali najua mipaka ya money laundery sijihusishi nazo.
Ushamfaham Kasinde!!?
 
sema wanawake wengi wanavaa nguo nusu mwili,wana vitu vingi fake kama kucha, etc.
sasa kazi hizo watawezaje?
 
Imekaa safi sana hiyo, kama nakuona baada ya kufix tyre ulivoompa namba yako au ulivoomba nambayake ya simu

Mimi mke wangu nilianza nae relation baada ya Gari lake kupata pancha na Mimi nikamsaidia kubadili tyre pale Stanbic karibu na Sealander Bridge, mpaka Leo ni nae na life inasonga
 
Ha ha ha mwanamke akipata pancha utaona midume inavyojitolea kutoa msaada...yani wewe shuka kwenye gari afu pretend kama unapiga simu vile...lazima atajitokeza muhisani...

Kuna siku mume wangu alimsaidia dada mmoja na mimi nikiwa kwenye gari; haikuwa pancha ila kigari chake kidogo kilishindwa kupita kwenye jiwe kubwa...sikuona wivu ingawa nilimind kimoyo moyo kwa muda then nikachukulia positively...'that's how a man should treat a lady'...maana alikuwa anaangaika huyo na sisi tulishindwa kupita mpaka atoke..

On a serious note; mimi hata mume wangu habadili tairi labda tuwe porini...na vijana wa mitaani walivyojazana cha kuchafua nguo nini???
 
Yaonekana mkeo anapenda kujiremba, kucha za gharama, less wig, mini skirt kweli hapo hawezi kuanza kushika jeki kwa kweli. Tatizo mie sina urembo wowote zaidi ya hereni cheni na kikuku

Mwanamke anaenda ofisini ameupara na kimini na rangi za gharama kwny vidole then anyanyue jeki? No way kwa hili ht mke wangu nitamtetea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…