Umenikumbusha sister angu mmoja alisha wahi kunokisha engine ya gari hata haina week... kisa kajifanya siku hiyo kufungua boneti kaweka maji kasahau kufungu mfuniko... kakanyaga mafuta na safar zake mpaka gari likazimika
wengi wanajua kudrive tu tena hizo zenye automatic gear system akikanyaga mafuta hadi anafika. Hawana ujanja ikizngua wanajua wanaume watahusika hapo
Mkuu Kasinde
Hata wazazi nyumbani wanawagawanya watoto kwa vizawadi kutokana na jinsia. Mimi nina pacha wangu yeye ni KE, tulivyokua wadogo baba akileta zawadi basi mimi naletewa toy ya kigari na yeye analetewa kimdoli.
Hii inaonyesha dhahiri wadada na magari hasa kutengeneza sio mambo yao, wachache wanafanya.
1. tie rod end/ball joint etc ikikatika sio mwanamke tu hata mwanaume huna ujanja,utapaki pembeni utaita wenye kazi yao....fundi labda wewe mwenyewe uwe fundi magari.
2.pancha inahitaji uzoefu,kuna wanaume wanapata pancha nao hawajui mpaka unamshtua kwahio unahitaji kauzoefu fulani kuhisi mabadiliko kwenye gari yako na si kila mtu ana uwezo huo.
kuna wanaume wengi tu hawawezi kubadili tairi,wakipata pancha utawaonea huruma wanavyohangaika wakikosa mtu wa kuwatolea....
vpi umerudi lini kutoka kwa Obama au unaongele ukiwa ukoHabari zenu wapendwa.
Nikiwa njiani leo kuelekea kazini kuna mama mmoja tyroad hand ikaachia tairi ya mbele kulia ikakaa migulu baja.
Nikiwa kwenye foleni mama akawasha hazard na kuchukua kilongalonga probably alikuwa anampigia husband au fundi.
Mbele kidogo nikiwa kwenye hizi barabara za vumbi maana tunapita huko kukwepa foleni njia kuu. Ikapita gari mama mwingine tairi ya mbele kushotoina pancha mama hana habari anakanyaga wese tuu.
Nikajikuta nawaza wanawake wanapenda magari na kuendesha kwa mbwembwe.
Issue inakuja gari ikiharibika inakabidhiwa mwanaume. Ni kudeka au ndo kawaida maana mie gari pancha nabadili mwenyewe, na vitu vidogovidogo.
Au kwakuwa mie sina husband nimejiseti tatizo likitokea ni langu.
we naweeee, leo ndo umegundua nina gari inamaana siku zote hizo ulijua nawazuga MMU, mie niandikacho ni real na huwa ni matukio ninayokutana nayo au yanayonitokea 90% mbona huku note kuwa sina husbendi umeona gari tuu, anyway as gari ndio hoja kuu lets go...... Asante kwa kunipa pongezi nimezipokea.
okeee ila wanatakiwa wajifunze walau kubadiri tairi au hata kuchokonoa betri ikiwa iko loose sio gari inazima unapigia fundi anakuja kusogeza betri tuu gari inawaka .....................
Mazoezi kama kawa nafanya siwezi kuacha, yameshakuwa sehemu ya maisha yangu na ratiba yangu ya kila siku. Na nimekuwa nikifanya kila siku kwa sababu siku hz bajaji zinaringa sana, so nikitoka nampita muuza matunda yuleeeeee motooo hadi morocco nakimbia mdogo mdogo from posta to morocco non stop karibuu
Waoooh hapa nilipo nimeanza kuendesha kwa fikira tu
Nitapata wapi mie hela yakukodisha gari?Labda kama unipe lote lote......lol
Poleniiiiii
Habari zenu wapendwa.
Issue inakuja gari ikiharibika inakabidhiwa mwanaume. Ni kudeka au ndo kawaida maana mie gari pancha nabadili mwenyewe, na vitu vidogovidogo.
Au kwakuwa mie sina husband nimejiseti tatizo likitokea ni langu.
hawajui ujanja unashuka kwenye gari tana kama umependeza wewe unafungua boneti unajifanya unaangalia angalia watakuja wanaume tu..... kama ni pancha unachukua jeki unajifanya kuanza kurekebisha aah bwana wakaka wa mjini wanajisogeza pole pole mtoto wa kike huku unatabasamu ..... wanawake wengi hatujui hata kukagua gari ni basi.... kazi ya wanaume hiii sisi ni kuendesha tu
Mimi mke wangu nilishamfundisha hizo mambo maana ana experience ya kutosha kwa majanga.
.
Habari zenu wapendwa.
Nikiwa njiani leo kuelekea kazini kuna mama mmoja tyroad hand ikaachia tairi ya mbele kulia ikakaa migulu baja.Nikiwa kwenye foleni mama akawasha hazard na kuchukua kilongalonga probably alikuwa anampigia husband au fundi.