Wanawake na limbwata zenu, ziwe na mipaka

Bzimana

JF-Expert Member
Mar 18, 2013
551
156
Habari wana Jf.?
Enyi wanawake mliowapa na mnatazamia kuwapa wanaume wenu limbwata...

Inakuweje unampa limbwata mume wako hadi limbwata ya kutowapenda na kuwasaidia ndugu zake hata wazazi wake

Jirani yangu kafanyiwa hii, kiuchumi yuko safi sana, ni mfanyabiashara hotel, maduka pia mfanyakazi International org fulani, mke wake ndie msimamizi wa kila kitu,
wadogo zake wawili ni machinga wa dawa za kunguni. Kaka zake 3 ni wakulima wa jembe la mkono, Kijijini kwao amewajengea wazazi wake kibanda cha laki kama 6 huku yeye anaishi kwenye jumba la kama 500M, nasikia wazazi wake chakula kwao ni shida.

Majuzi kaenda kijijini kwao ila kafikia kwa wakwe zake, hakufika kwa wazazi wake..

Source: wadogo zake.
Eeekh.! Mungu niepushe limbwata isinipate..
 
Habari wana Jf.?
Enyi wanawake mliowapa na mnatazamia kuwapa wanaume wenu limbwata...
Inakuweje unampa limbwata mume wako hadi limbwata ya kutowapenda na kuwasaidia ndugu zake hata wazazi wake
Jirani yangu kafanyiwa hii, kiuchumi yuko safi sana, ni mfanyabiashara hotel, maduka pia mfanyakazi International org fulani, mke wake ndie msimamizi wa kila kitu,
wadogo zake wawili ni machinga wa dawa za kunguni. Kaka zake 3 ni wakulima wa jembe la mkono, Kijijini kwao amewajengea wazazi wake kibanda cha laki kama 6 huku yeye anaishi kwenye jumba la kama 500M, nasikia wazazi wake chakula kwao ni shida. Majuzi kaenda kijijini kwao ila kafikia kwa wakwe zake, hakufika kwa wazazi wake..

je, umejuaje kama ni limbwata!!!!?
 
Mkuu wakati mwingine sio limbwata ni ubinafsi. Pia usisahau kuna mtu anampenda mkewe kiasi kwamba kila mke anachopendekeza hukubali. Na pia usisahau kuna wanaume wanawaogopa wake zao kila mke anachotaka yeye hutekeleza. Halafu usisahau kuna wanawake wengine wanawapa waume zao mambo Fulani (siku hizi munaita tigo). Nasikia kuna wanaume wanachanganyikiwa wakishaonjeshwa mabo kama hayo na kujikuta ni akina ndio mzee.
 
jitahidi kujua kitu kinachoitwa saikolojia.....hayo maneno ya malimbwata utayatupilia mbali
 
Mkuu wakati mwingine sio limbwata ni ubinafsi. Pia usisahau kuna mtu anampenda mkewe kiasi kwamba kila mke anachopendekeza hukubali. Na pia usisahau kuna wanaume wanawaogopa wake zao kila mke anachotaka yeye hutekeleza. Halafu usisahau kuna wanawake wengine wanawapa waume zao mambo Fulani (siku hizi munaita tigo). Nasikia kuna wanaume wanachanganyikiwa wakishaonjeshwa mabo kama hayo na kujikuta ni akina ndio mzee.

yeah.! Nakubaliana na wewe kwa asilimia kadhaa
 
maamuzi yote ya kifamilia na kikazi anaamua mwanamke.. Nasikia hata baba yake akimwomba hela anamwambia subiri kwanza nimuulize mke wangu.. Akikubali nitakulushia.!
Jirani hodari wewe!!
Unasikia wapi hayo mawasiliano na Baba yake?
 
watu kama nyinyi ndio wenye majungu mitaani, muone,,

inakuwaje unafuatilia maisha ya mtu kiasi hcho?!
Huna hata aibu jitu zima kuspy maisha ya mwanaume mwenzako kuanzia anavyolala,anavyoongea na watu, mpaka safar zake?

Ww una mapungufu mangap?
Ww umetimiza kila kitu?

SKU ZOTE MDA WA SIKU HUWA HAUTOSHI HIVYO HAINA HAJA KUANGALIA MAMBO YA WENGNE ANGALIA YA KWAKO..
 
Kuna ndugu hawabebeki bwana, kunguni usiemjua usisifie kitanda chake. Kuna jitu lina shida na unajitahidi umsomeshee wanae ili watoke, halafu unampa ada linaenda kununua madera na viatu vya plastiki! Kwa ndugu hamna kubebana, unamuonyesha njia. Ukimlipia ada ya chuo yeye anaona dyudyu ndo ya maana halafu aje anilalamikie mie na hela zangu? Unamtaftia mtu kazi anaacha, eti natoka late. Unawahi wapi na wewe unakula ugali wa shkamoo na kitanda unashare na hgelo?

Hao wazazi nao uliza historia. There is a story behind every story. Usipangie bajeti hela ya mwenzio.
 
watu kama nyinyi ndio wenye majungu mitaani, muone,,

inakuwaje unafuatilia maisha ya mtu kiasi hcho?!
Huna hata aibu jitu zima kuspy maisha ya mwanaume mwenzako kuanzia anavyolala,anavyoongea na watu, mpaka safar zake?

Ww una mapungufu mangap?
Ww umetimiza kila kitu?

SKU ZOTE MDA WA SIKU HUWA HAUTOSHI HIVYO HAINA HAJA KUANGALIA MAMBO YA WENGNE ANGALIA YA KWAKO..

Msiseme sana, labda ni ndugu yake ila anaona aibu kusema ndugu yake kalishwa limbwataaa...

Mleta mada usiwe na wasiwasi kama ni limbwata....ts a matter of time, yataisha hayo na huyo mbaba atajielewa tuuu, hamna limbwata la milele labda kama tu mwenyewe ana tabia ya ubinafsi....!

Kuna watu walioa kwa nguvu za limbwata na siku lilivyoisha tuuu...talaka nginja nginjaaa......!
 
SI wakomae na wao kutafuta,sasa wewe unataka bro ndo alishe ukoo mzima?
 
Ndio hadi wazazi wakomae kutafuta?
Yani me mwanaume asiyejali wazazi wake namuona wa ajabu sana....Kwanza hana dini (kila dini imeweka msisitizo juu ya kuwatunza wazazi), Pia namuona hana huruma...
Kama anaweza kuwatupa wazazi wake waliomzaa na kumlea hadi akajielewa ndo atanithamini mimi tuliyekutana utu uzimani? Au atathamini watoto kweli?
 
Back
Top Bottom