Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,236
- 26,770
Jirani mtata...kama CIA file za familia yao zote unazo..hadi mazungumzo ya sim unayo
maamuzi yote ya kifamilia na kikazi anaamua mwanamke.. Nasikia hata baba yake akimwomba hela anamwambia subiri kwanza nimuulize mke wangu.. Akikubali nitakulushia.!
Ndio hadi wazazi wakomae kutafuta?
Yani me mwanaume asiyejali wazazi wake namuona wa ajabu sana....Kwanza hana dini (kila dini imeweka msisitizo juu ya kuwatunza wazazi), Pia namuona hana huruma...
Kama anaweza kuwatupa wazazi wake waliomzaa na kumlea hadi akajielewa ndo atanithamini mimi tuliyekutana utu uzimani? Au atathamini watoto kweli?

Mkuu
Unaweza weka reference ya MAANDIKO yasisitizayo kutunza wazazi kwa ajili ya kuweka kumbukumbu sawa.
Though siyo vyema kuwatelekeza wazazi lakini kwa hii scenario ya mleta mada kama ni kweli then lazima kunatatizo liko nyuma ya pazia zaidi ya hili la limbwata.
Wazazi wengine wanajitia usharobaro wakati wa ujana wao ikiwa pamoja na kukwepa majukumu yao halafu ukifanikiwa ndo wanakuona wa maana.
limbwata mine sio kabisaa!!!
yaani ndugu yenu Anawaona km nyaa vile
wazazi mtajuta kuzaa