Wanawake msitufokee, tunaelewa be humble

Wanawake msitufokee, tunaelewa be humble

Mbona kazi rahisi sana. Muambie mpenzi ukiongea bila kunishika kidevu anakuwa sikusikii wala kukuelewa. Kwa Hiyo ukitaka kunielewesha kitu kama nimekukwaza, nishike kidevu.

Hapo kesi haifanyiki mkiwa wima. Ni either muwe kitandani ama mkae kwenye kochi. Na hawezi kukufokea hapo.

Mmeambiwa kuishi na sisi mtumie akili. Nshakutia akili kaka.
Msitufokee mbele za marafiki,inawezekana unamlea mwanaume umsitiri basi kama unataka kudumu naye,.

Mi ukinifokea naenda kununua kamba dukani,nafunga kwenye mti halafu naanika nguo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha kanga laini.!!! Ili nikikufokea ufanyaje?
Nakuskiliza uongee mpaka hasira zako ziishe then mkono mmoja nakamata kiuno nakusogeza karibu tartiib,then kama nlikukosea nasogeza kinywa skioni mwako nakuomba radhi kwa kukunongoneza na maneno lainiii,hujakaa sawa tayari mkono wapili upo kifuani vidole vinapress chuchu juu ya khanga,usipotulia hapo tena bas utakuwa unatafuta shari
 
mi yamenikuta imefikia had hatua kutoa talaka kwa sms!yaani nikirud hom naanza kukaguliwa kuanzia kichwan had nyayoni km huna vumbi hata kidogo makelele yanaanza"ulikuwa kwa malaya wako umeoga huko!!"ukivua nguo zinaanza kunuswa had boxa zangu ananusa!yaani kitu kidogo unafungiwa mlango wa chumban ulale sitin rum.ukipigiw sim usipopokea tayari kelele hupokei sim uko kwa malaya wako!kero mwanzo mwisho ukisema umechoka tu kazin utaambiwa hawara yako kakuchosha leo!kwel nikachoka nikaona ni too much kibaya zaid anavyohisi wala haipo hivyo!nikatishia talaka nikaita na wazaz!hapo kidogo akanywea tukasuluhishwa akaomba atajirekebisha tumerud nyumban tu mara akataka aanze tena wivu usio na maana!maana ni mtu asieweza kujizuia ht ukichelew bafun anakuuliza unafanya nn mda wote huko

my game,my rules
 
Kufokeana mbele ya marafiki sio mi kwa upande wangu ukinikera ntakupiga jicho hilo ambalo litajumlisha vyote.

Tukishafika ndani ndio tutaanza kuzungumza na kuwekana sawa.
 
Msitufokee mbele za marafiki,inawezekana unamlea mwanaume umsitiri basi kama unataka kudumu naye,.

Mi ukinifokea naenda kununua kamba dukani,nafunga kwenye mti halafu naanika nguo.
Hahaaaaaa usijali sikufokei tenaaaa[emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Back
Top Bottom