Mkuu....Msitufokee mbele za marafiki,inawezekana unamlea mwanaume umsitiri basi kama unataka kudumu naye,.
Mi ukinifokea naenda kununua kamba dukani,nafunga kwenye mti halafu naanika nguo.
Duhh....Mkuu sijinyongi naanika nguo?
Minapombeka hapa kwetu pazuri tabataMkuu pamoja,karibu jogoo
[emoji40] [emoji40] [emoji125] [emoji125]Mkuu vunga