Wanawake msitufokee, tunaelewa be humble

Wanawake msitufokee, tunaelewa be humble

Mimi wife akitaka nisimwelewe kabisa ni kunifokea tena mbele ya binadamu yeyote... Mh!!!!!!!!!!!!! Nashukuru anatambua jinsi ilivyo ngumu kumeza na kikubwa hata sifanyi...
 
Yeye ndiye analelewa na huyo bibie, avumilie tuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kufokeana mbele ya marafiki sio mi kwa upande wangu ukinikera ntakupiga jicho hilo ambalo litajumlisha vyote.

Tukishafika ndani ndio tutaanza kuzungumza na kuwekana sawa.
Dude linaamshiwa nyumbani
 
Msitufokee mbele za marafiki, inawezekana unamlea mwanaume umsitiri basi kama unataka kudumu naye, mimi ukinifokea naenda kununua kamba dukani, nafunga kwenye mti halafu naanika nguo.
Aisee.
Mara nyingi jambo huwa linatendeka kwa sababu, mfokewaji huna budi kujitathmini pia wafokeaji muwe na break wengine wana preshaaa unaweza kufoka halafu ukabaki unaliaaaa mwenyewe
 
Aisee.
Mara nyingi jambo huwa linatendeka kwa sababu, mfokewaji huna budi kujitathmini pia wafokeaji muwe na break wengine wana preshaaa unaweza kufoka halafu ukabaki unaliaaaa mwenyewe

Umeua mdogo wangu.

Ila kufokeana mbele za watu sio kabisa.
 
Huko Kwa kwenda kununua Kamba umefika mbali kaka, Kama vipi bora mmwagane tu ili kila Mtu apambane na hali Yake kivyake kuliko kutaka kujiangamiza nafsi yako mwenyewe, ni dhambi kubwa ! Watu kibao wanaumwa wanaomba Mungu awaponye Wewe unataka kujiudhuru mwenyewe?! Usifanye hivyo kaka! Maisha ni zaidi ya kuishi na Mke Au Mume ! Kuna Watu wako single na wanafurahia maisha! Usijali Watu watakuonaje jali furaha ya nafsi yako! Nenda kawaone watumishi wa Mungu wata kushauri vizuri na ndugu zako wambie! Ila wawewe jihoji mwenyewe umekuwa mwaminifu kabisa mbele Za Mungu na wanadamu (mkeo) ? Kama aliwahi kujufuma na cheat in wambie watumishi wataongea nanyi wote na msameheane ili arejeshe Imani Yake kwako! Mwambie kuna wadada wanafunga na kuomba na kwenda Kwenye mikesha kuomba Mungu awape wanaume bora wa kuwaoa lakini yeye kumpata halafu anaku embarasss [emoji87][emoji87][emoji87] ila naomba ujibu maswali yangu ya awali kuna ushauri nitakupa Kama utanijibu Kwa ukweli! Kwa sababu kutakuwa namna kwanini awe anakushuku kiasi hicho kila mara? Inamaana hakupendi tena?!
 
Ndio maana mzee wangu enzi nipo mdogo alikuwa anapenda kuanzisha ugomvi jioni tukishamaliza kula msosi wa jioni tukiwa tunahadithiana zile hadithi pendwa kabla ya kulala.
Hahaaa. Alikuwa na maana kubwa sana. Hongera kwa baba yetu.
 
Nakuskiliza uongee mpaka hasira zako ziishe then mkono mmoja nakamata kiuno nakusogeza karibu tartiib,then kama nlikukosea nasogeza kinywa skioni mwako nakuomba radhi kwa kukunongoneza na maneno lainiii,hujakaa sawa tayari mkono wapili upo kifuani vidole vinapress chuchu juu ya khanga,usipotulia hapo tena bas utakuwa unatafuta shari
Umekusudia na Mimi niwe CHAPUTA sasa.
Haya Bhana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom