Wanawake msitufokee, tunaelewa be humble

Wanawake msitufokee, tunaelewa be humble

Wakuu sijaoa mbona mnaniweka kwenye kundi la wenye stress
 
Msitufokee mbele za marafiki, inawezekana unamlea mwanaume umsitiri basi kama unataka kudumu naye, mimi ukinifokea naenda kununua kamba dukani, nafunga kwenye mti halafu naanika nguo.
hahahahahahha bora nilihisi utajinyonga lllooooh na nyie muwe mnafanya kazi jaman msipende kulelewa sio jadi yenu

nimesema tu sitaki maweeeee
 
wakiwafokea si muwalambe vibao au mnawaogopa.

bunge la tanzania ni "rubber stamp" ya serikali ya magufuli
 
Back
Top Bottom