Wanawake msiombe hela ombeni KAZI

Wanawake msiombe hela ombeni KAZI

Ni kweli kabisa ulosema bro.....lkn Kwa sisi tulio na kazi na watoto pia....hua tunakimbiwa Kwa sabbu mizinga yetu ni shikamoo baba!
Piga mzinga ukafanye cha maana sio kusuka
 
True...

Ukiwa nazo mpe tu...

Ila kero ni sasa tunatengeneza kizazi cha mwanamke ambae kila kitu lazima apigwe mashine ndio akipate... Ila ndio hvo...
 
True...

Ukiwa nazo mpe tu...

Ila kero ni sasa tunatengeneza kizazi cha mwanamke ambae kila kitu lazima apigwe mashine ndio akipate... Ila ndio hvo...
Noma.
 
Kwa hiyo umekuja kunianzishia Uzi kabisa!?
 
Unapenda kumuona katengeneza nywele zake binti anag'aa, we unadhani anag'aa bure??

Unataka akuombe mtaji, ukimpa ndo hatokaa apendeze,au faida yake ndo ataenda kusukia?

Nature haijawahi kudanganya,mwanaume utaendelea kula kwa jasho,ndo raha ya mapenzi!!
 
Back
Top Bottom