saci
JF-Expert Member
- Mar 4, 2014
- 241
- 389
Kuna mwanamke kaniomba sh elfu 40 akasuke nywele sasa nikaiwazia hiyo pesa kwa haraka haraka.
Elfu 40 nanunua mifuko mi 3 ya smenti.
Elfu 40 nanunua kuku wa 3 wanene.
Elfu 40 nanunua units 116 za umeme.
Elfu 40 nanunua mapazia mawili.
Elfu 40 najaza gesi mtungi mkubwa.
Basi baada ya kuithaminisha hiyo hela nikamuuliza nisipokupa itakuwaje akanijibu kama unanipenda utanipa.
Basi bana ile kuna dem mwingine ambaye naye yupo chini ya himaya yangu aliwahi kuniomba elfu 50 ya mtaji wa juisi ya matunda. Nahisi huyu wa juisi kapata.
Mwanamke kama huna kazi muombe mpenz wako akutafutie kazi au kabiashara sio akupe pesa usuke fuvu lako ufiche kisogo. Nywele zenyewe sio zenu hata aibu hamuoni.
Ni hayo tu.