Wanawake msikubali uzinzi wa waume zenu

Wanawake msikubali uzinzi wa waume zenu

Bahati mbaya hawazingatii huo ushauri. Wangejua wanavyokuwa wamechokwa mpaka wanaachwa ndani,huku wanaume wanachofuata,kwa hao wanawake kipo,wangejiongeza.
 
Mbona hujawaza wewe kufa na kumwacha mumeo na watoto wa nje!!?

Cheti Cha ndoa kimeleta kifo Cha mapema kwa wanaume wengi na kuleta ujinga mwingi kwa wanawake!!!

Mfumo wa mke mmoja ni mfumo katili sana kwa wnaume na hii itatuletea shida sana tusipoenda kinyume!!

Hivi mke akibadilika hataki kutii Tena baada ya kushiba maendeleo nyumbani Kwake mwanamme atafanyaje!!???

Kama sio Kuoa mwingine akuache ufanye mapenzi na mali unazojivunia!!?na watoto una waona wao ni WA maana kuliko mumeo aliekuweka kwenye Ramani!!?

So sad

Kwahiyo Chet Cha ndoa ndio kina wafanyaw muamini sisi wanaume tutakufa mapema na kuwaachia Mali si ndio!!?
Wana ujinga mwingi San Hawa viumbe
 
Huu ushauri wako siyo wa kufuatwa hata kidogo na wanawake wenye akili timamu. Maana wakidai hizo talaka na kubakia kuwa single mothers, mtarudi tena hapa jukwaani kuja kuwatukana na kuwakejeli.

By the way, hii akili ya kufikiria mirathi baada ya mwenza kufariki, na yenyewe ni ya hovyo kupitiliza.
Acha uzinzi Mkuu
 
Uzinzi hauzuiliki ila changamoto ni mme kuzaa nje! Fikiria ulishazaa naye, ukiomba talaka bado mme akifa utakuja kudai Urithi wa Watoto wako.
Nadhani ingawa mimi siyo Mwanasheria, ni vizuri kuhakikisha mnakubaliana na mmewe kuandikisha urithi wa mali mlizochuma pamoja kwa watoto kabla ya kufa.
Hata akifa wakaletwa watoto wengine aliozao nao nje wakute mali zilishamilikishwa kwa watoto wako!
Ingawa hili tunalikwepa sana la kuandikisha urithi mapema!
 
Mbona hujawaza wewe kufa na kumwacha mumeo na watoto wa nje!!?

Cheti Cha ndoa kimeleta kifo Cha mapema kwa wanaume wengi na kuleta ujinga mwingi kwa wanawake!!!

Mfumo wa mke mmoja ni mfumo katili sana kwa wnaume na hii itatuletea shida sana tusipoenda kinyume!!

Hivi mke akibadilika hataki kutii Tena baada ya kushiba maendeleo nyumbani Kwake mwanamme atafanyaje!!???

Kama sio Kuoa mwingine akuache ufanye mapenzi na mali unazojivunia!!?na watoto una waona wao ni WA maana kuliko mumeo aliekuweka kwenye Ramani!!?

So sad

Kwahiyo Chet Cha ndoa ndio kina wafanyaw muamini sisi wanaume tutakufa mapema na kuwaachia Mali si ndio!!?
Kabala hujaongea uliza jinsia ya mtu kwanza.

Sio kila anaeongea jambo ni Ke.
 
Kuna uzi nimeusoma kuwa kuna mwanaume umefarik na kuacha watoto wawili wa nje ya ndoa ambao waliletwa kwenye msiba wa Mwanaume huyo.

Ukiangalia kwa umakini utaona upuuzi wa Mwanaume ndio unaleta mateso kwa Mke wa ndoa na watoto wa ndoa, maana Uzinzi wa mume unafanya mke aanze kuhangaika kupambania urithi na watu wa nje.

USHAURI WANGU
Wanawake msikubali uzinzi wa waume zenu Kwenye Ndoa, ukiona na ukathibitisha mume wako ni malaya basi dai talaka mapema iwezekanavyo.

Usisite kabisa, maana usipokuwa makini utaletewa watoto siku ya mazishi ya mume wako.

Ukiona umeolewa na malaya ujuwe na wewe ni malaya vilevile.

Mungu hukupa wa kufanana nae.

#YNWA
 
Kuna uzi nimeusoma kuwa kuna mwanaume umefarik na kuacha watoto wawili wa nje ya ndoa ambao waliletwa kwenye msiba wa Mwanaume huyo.

Ukiangalia kwa umakini utaona upuuzi wa Mwanaume ndio unaleta mateso kwa Mke wa ndoa na watoto wa ndoa, maana Uzinzi wa mume unafanya mke aanze kuhangaika kupambania urithi na watu wa nje.

USHAURI WANGU
Wanawake msikubali uzinzi wa waume zenu Kwenye Ndoa, ukiona na ukathibitisha mume wako ni malaya basi dai talaka mapema iwezekanavyo.

Usisite kabisa, maana usipokuwa makini utaletewa watoto siku ya mazishi ya mume wako.
Unachekesha sana.
 
Unacheka kwasababu ya umalaya wako Mkuu.

Sisi wanaume wenye akili huwa hatucheki kwenye vitu kama hivi.
Katika ushauri wote duniani uliouwaza wewe ni wanawake waombe talaka?Tena ni "kuomba" na si kutaka.Unawadanganya.Wakiomba talaka ndiyo wanapata suluhu ya ndoa zao.Think twice, again and again,fella!
 
Back
Top Bottom