Wanawake msikubali uzinzi wa waume zenu

Wanawake msikubali uzinzi wa waume zenu

mcheki suleiman
daudi
na wengine walikuwa wanapiga kimya kimya hawa ndio walituonyesha njia mkuu
Daudi alizini na kutubu, baada ya hapo hakulala na wanawake, akaletewa Abishagi Mshunami awe anampa joto ila na uzuri wa Abishagi hakutaka hata kulala naye kwa kuwa aliona matokeo ya uzinifu almanusura yamuuwe. Sulemani uzinzi ulisababisha amuache Mungu na kuitumikia miungu mbalimbali matokeo yake kafa na mbingu kaikosa.
 
wacha wenzio wafaidi banaaa
 
Atakusaliti kama ukimsaliti. We fanya uone.
Hahahahaah sasa hiyo hata Kwa asiye Malaya ukimletea vituko mwisho atachoka atatafuta pumziko

Kwasasa nimechana na vipochi manyoya hamna jipya najenga familia

Afu najua maumivu ya kutendwa sihitaji Mke wangu aje ayajue kabisa nataka asikiage tu Kwa majirani yaani nikukapeti peti tu mwaka unakata sasa kanaenjoy ndoa

Na nimemua kusimama na uaminifu hizo story za kusema hakuna mwanamme asiyechepuka kwangu nitahakikisha hazitokei Kwa gharama yeyote ile
 
Hapo sawa asili haitakuadhibu maana ukibadilika asili haitakuadhibu ila ukiendelea lazima ikuadhibu.
 
Kuna uzi nimeusoma kuwa kuna mwanaume umefarik na kuacha watoto wawili wa nje ya ndoa ambao waliletwa kwenye msiba wa Mwanaume huyo.

Ukiangalia kwa umakini utaona upuuzi wa Mwanaume ndio unaleta mateso kwa Mke wa ndoa na watoto wa ndoa, maana Uzinzi wa mume unafanya mke aanze kuhangaika kupambania urithi na watu wa nje.

USHAURI WANGU
Wanawake msikubali uzinzi wa waume zenu Kwenye Ndoa, ukiona na ukathibitisha mume wako ni malaya basi dai talaka mapema iwezekanavyo.

Usisite kabisa, maana usipokuwa makini utaletewa watoto siku ya mazishi ya mume wako.
kichwa chako kimejaa chuki na ujinga..Wanaume wangapi wanalea watoto wasio wao? Kwanini umewaza mwanaume kufa wa kwanza wewe ndio Malaika israel au?
 
Hapo sawa asili haitakuadhibu maana ukibadilika asili haitakuadhibu ila ukiendelea lazima ikuadhibu.
Mungu aniepushe japo ikitokea haiwezi vunja ndoa yangu hahahaha maana nasikia kama ulichapa Mke Wa mtu na wako atachapwa tu hata Kwa Bahati mbaya so ninavimeo vingi

Na muomba Mungu isitokee japo ikitokea haitanishtua na wala sitamuacha nitajua tu nakula matunda ya kazi yangu hahahaha
 
Yes mtegemee Mungu alafu usicheat na kama una tatizo litatue haraka sana, cheating ya mkeo utaisikia redioni, haitatokea. Asili itasimama na wewe.
 
Mungu aniepushe japo ikitokea haiwezi vunja ndoa yangu hahahaha maana nasikia kama ulichapa Mke Wa mtu na wako atachapwa tu hata Kwa Bahati mbaya so ninavimeo vingi

Na muomba Mungu isitokee japo ikitokea haitanishtua na wala sitamuacha nitajua tu nakula matunda ya kazi yangu hahahaha
Si unaona Daudi alichapa mke wa mtu, wake zake 10 walichapiwa na mtoto wake Absalom.
 
Back
Top Bottom