Canabian Rasta
JF-Expert Member
- Aug 18, 2022
- 780
- 1,768
Kuna wanawake wanasababisha wanaume waanze kuchepuka, ukiingia katika ndoa utaliona hili.
Chepuka unavyoweza ila kwa upande wangu hua napinga mwaaume anayepambana pamoja na mwanamke pamoja na kufanikisha kumiliki mali kiasi then mwanaume kwa namna moja au nyingine ananza kutafuta visingizio vyakutoka nje ya ndoa hadi kupata watoto huko then anaforce kibabe kuwainclude watoto wa nje na wale wenye haki!!! Huo ni UPUUZI na dhambi kubwa kutokea.
Kama unataka ivo fanya kutafuta mali zako mwemyewe kwanza bila uwepo wa mwanamke, yani hakikisha mwanamke unayemwoa hatoi hata mia yake na kwako akute kila kitu mpaka poda asijinunulie hata gari ukimpa awe amelikuta tu then akizingua we unahaki ya kufukuza, kuoa hata kuzaa unavyotaka ila sio kwa mwanamke aliyekukuta unakaa kwenye kagetto kama store akakuvumilia hadi mkamiliki nyumba then ulete use ge wa ivo ,
tena unakuta umeenda kuokota kidem choka mbaya masikini hakina mbele wala nyumba unakihudumia kwa kufuja haki ya mke na wanao unapereka kwa mchepuko ni heri hata uchepuke na mdada tajiri mwenye future na vision kidogo unaweza kueleweka maana atakua kakupenda wewe sio mali na wtoto wake hawawez kuangaika na mali za mkeo maana mama yao yupo vizuri.
Si tupo kwenye ndoa ila huo hupuuzi hua sifanyi milele mali zangu ni zamke richa ya mapungufu yake ila kwakua alinikuta sina hili wala lile, kaanza kunifulia nguo zangu na kuniheshimu hata kabla sijaweza kumnunulia gauni la 30k, siwezi kufanya iyo dhambi abadani, mungu aniepushe mbali.