Je huyu mke wa jirani amefanya vyema?

Je huyu mke wa jirani amefanya vyema?

man dunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
3,867
Reaction score
6,865
Mke wa jirani kaita ndugu upande wa mume akiwaambia wasimlaumu akipata mimba nje ya ndoa sababu ndugu yao( mume) yuko mbali kwa miezi sita (akitafuta kipato).

Yaani umri wa mwanamke umeenda anakaribia miaka 40 na amefunguka hayo. Dah hakika wanaume tunapitia magumu.

Yaani nimeenda mbali kutafuta kipato,nimekaa miezi mi5 ,6 huku mwenzangu anawaza kuchepuka . Ukiumwa je kwa mwaka 1 si ataolewa kabisa na mwanaume mwingine.
 
downloadfile-138.jpg
 
Usikute huku aliko kwa miezi sita tayari ana mke mwingine.
 
Back
Top Bottom