Wanawake msikubali uzinzi wa waume zenu

Wanawake msikubali uzinzi wa waume zenu

Yes ila sanasana kuomba sana. Kufunga inakupa nguvu za kiroho zaidi.
mimi binafsi nilikuwa na udhaifu huu sana na ni mwombaji sana nilipoona vinanishinda nkamwona mtumishi mmojaa akanifundisha kufunga ukweli nilifuta ma x kama wote yaan nikiona nazidiwa najifungia ndan nakula mahubiri kama alivyosema juu jamaammoja wake wengine n kama tumeoana israel na HAMAS...maombi tu na rehema ya ke Mungu
 
Kuna uzi nimeusoma kuwa kuna mwanaume umefarik na kuacha watoto wawili wa nje ya ndoa ambao waliletwa kwenye msiba wa Mwanaume huyo.

Ukiangalia kwa umakini utaona upuuzi wa Mwanaume ndio unaleta mateso kwa Mke wa ndoa na watoto wa ndoa, maana Uzinzi wa mume unafanya mke aanze kuhangaika kupambania urithi na watu wa nje.

USHAURI WANGU
Wanawake msikubali uzinzi wa waume zenu Kwenye Ndoa, ukiona na ukathibitisha mume wako ni malaya basi dai talaka mapema iwezekanavyo.

Usisite kabisa, maana usipokuwa makini utaletewa watoto siku ya mazishi ya mume wako.
Huu ushauri wako siyo wa kufuatwa hata kidogo na wanawake wenye akili timamu. Maana wakidai hizo talaka na kubakia kuwa single mothers, mtarudi tena hapa jukwaani kuja kuwatukana na kuwakejeli.

By the way, hii akili ya kufikiria mirathi baada ya mwenza kufariki, na yenyewe ni ya hovyo kupitiliza.
 
Sana.
 
shida moja niwambie uzinzi n roho
uaapozini unabeba roho zote chafuza dunia......kama n mwizi usishangae kuwa mwizi na ktk roho mbaya kwenye uzinzi ni umasikini ukiendekeza utaitwa......hutoamni yaan general sio ukiweza kuukibia mshukuru Mungu
 
Kuna uzi nimeusoma kuwa kuna mwanaume umefarik na kuacha watoto wawili wa nje ya ndoa ambao waliletwa kwenye msiba wa Mwanaume huyo.

Ukiangalia kwa umakini utaona upuuzi wa Mwanaume ndio unaleta mateso kwa Mke wa ndoa na watoto wa ndoa, maana Uzinzi wa mume unafanya mke aanze kuhangaika kupambania urithi na watu wa nje.

USHAURI WANGU
Wanawake msikubali uzinzi wa waume zenu Kwenye Ndoa, ukiona na ukathibitisha mume wako ni malaya basi dai talaka mapema iwezekanavyo.

Usisite kabisa, maana usipokuwa makini utaletewa watoto siku ya mazishi ya mume wako.
Sasa kwa ushauri huo kuna ndoa itabaki salama kweli....
 
shida moja niwambie uzinzi n roho
uaapozini unabeba roho zote chafuza dunia......kama n mwizi usishangae kuwa mwizi na ktk roho mbaya kwenye uzinzi ni umasikini ukiendekeza utaitwa......hutoamni yaan general sio ukiweza kuukibia mshukuru Mungu
Kweli kabisa na asili huwa inamlipa mtu kutokana na alichokifanya.
 
Hapana cheating ni kosa la anayefanya na sio asiyefanya. Huu ujinga wa kuwasingizia wanawake kuwa ni sababu ya kufanya cheating ni ujinga uliopitiliza.

Cheating is a choice.
Ndugu yangu hakuna mtu mwenye hela anaependa shida tembea uone. Nashangaa sana kusikia kuwa mtu anaachana na mume kisa malaya mmoja. Huku kwa wazungu mwanamke anatulia kwenye ndoa na anavumilia as long as hakuna mahusiano ya kudumu na huyo kimada na anapata mahitaji yote muhimu. Mwanaume ni hela aisee nilikuwa siamini lakini nimejionea .
 
Kuwa na pesa tu haikufanyi uvumiliwe aisee, wazungu wangapi wanadai talaka watu wakifanya cheating mfano Hakimi Achraf , aisee ukiona mwanamke anakuvumilia kwenye mahusiano baada ya kucheat ujue una kitu ambacho wanaume wengi hawana ila amini nakuambia asili haitakuacha salama lazima mwanamke wako atacheat Ili equation ibalance.
 
Sasa nikiamua kumuacha na tayari kuna maisha ameshayazoea nani atateseka ? Na mimi na yeye nani itamuumiza maana yeye ameishi na mimi kihisia. Mimi nimeishi na yeye kimalengo na kimaslahi kama mke wangu. Yeye kuwa mke wangu kumenipa soko ya kuwa nina uwezo wa kuhudumia mke na familia. Yeye kuwa na mimi hakujampa faida yeyote katika jamii yeye kama yeye. Kwa hio akicheat anakuwa amejiharibia mwenyewe. Kama mnataka mwanaume asicheat kazana kama mwanaume pambana uwe na maisha yako.Haklafu utafute ki serengeti boy, japokuwa mfumo wa "hakisawa" umejificha nyuma ya rushwa ya ngono. Si unaona alieimba "wanawake na maendeleo" anagombania mali za marehemu wakati alikuwa kimada. Kaa chini tulia dada yangu mke hawezi kumzidi kimada hata siku moja chini ya jua.
 
Oyaa mi ni boy.
 
Pesa ni muhimu sana hatukatai ila hakuna kitu cha muhimu ukiwa na qualities bora kuwazidi wanaume wengine.
 
Back
Top Bottom