Sasa kama mnaishi mnaviziana hivi, KWANINI MNAOA?Kwa akili za kipuuzi za wanaume wenzangu wengi, ni bora wawe na mali zao tu Mkuu.
Dini ndio zimeleta ndoa Mkuu, na ni dini hizohizo ndio zinasema ndoa ivunjwe endapo kuna mwanandoa mzinzi.Katika ushauri wote duniani uliouwaza wewe ni wanawake waombe talaka?Tena ni "kuomba" na si kutaka.Unawadanganya.Wakiomba talaka ndiyo wanapata suluhu ya ndoa zao.Think twice, again and again,fella!
Kataa Ndoa ni jambo zuri sana especially kwa walio na tamaa.Sasa kama mnaishi mnaviziana hivi, KWANINI MNAOA?
Kwani ukiwa single then ukafa halafu mgao ukafanyika na mahakama, KINAPUNGUA KITU?
#YNWA
Wasaidie sasa usinifokeeAkili kama zako ndio zinafanya wanawake wawe wanaangalia pesa na sio mapenzi ya kweli.
Kwa hiyo umeshahukumu mimi ni mzinzi kwa sababu nimekukatalia hoja yako ya kipuuzi?Tumia akili yako hata kwa asilimia tano hadi saba uje na suluhu kwa hao akina mama.Dini ndio zimeleta ndoa Mkuu, na ni dini hizohizo ndio zinasema ndoa ivunjwe endapo kuna mwanandoa mzinzi.
Kama unaona wewe ni mzinzi usiikaribie ndoa Mkuu.
Mbona nyie wanawake mnazaa nje ya ndoa na kuwambambikia waume watoto na tunalea bila kinyongo? Acheni roho mbaya nyie wanawake, ikitokea mke ndio wa kwanza kutangulia kufa je? Hao watoto wa nje hawana makosa wapewe tu haki yao kama watoto wengine tatizo ni pale mnapotaka kuwadhulumu haki yao wakati hawana shidaKuna uzi nimeusoma kuwa kuna mwanaume umefarik na kuacha watoto wawili wa nje ya ndoa ambao waliletwa kwenye msiba wa Mwanaume huyo.
Ukiangalia kwa umakini utaona upuuzi wa Mwanaume ndio unaleta mateso kwa Mke wa ndoa na watoto wa ndoa, maana Uzinzi wa mume unafanya mke aanze kuhangaika kupambania urithi na watu wa nje.
USHAURI WANGU
Wanawake msikubali uzinzi wa waume zenu Kwenye Ndoa, ukiona na ukathibitisha mume wako ni malaya basi dai talaka mapema iwezekanavyo.
Usisite kabisa, maana usipokuwa makini utaletewa watoto siku ya mazishi ya mume wako.
Usijifariji...tupoHakuna Mume asie malaya
Suluhu ni moja tu Mkuu - Ndoa iheshimiwe na kila mtu, na wazinzi wote wasiisogelee NDOA.Kwa hiyo umeshahukumu mimi ni mzinzi kwa sababu nimekukatalia hoja yako ya kipuuzi?Tumia akili yako hata kwa asilimia tano hadi saba uje na suluhu kwa hao akina mama.
MIMI NI DUME LA MBEGU MKUU (Nitake radhi).Mbona nyie wanawake mnazaa nje ya ndoa na kuwambambikia waume watoto na tunalea bila kinyongo? Acheni roho mbaya nyie wanawake, ikitokea mke ndio wa kwanza kutangulia kufa je? Hao watoto wa nje hawana makosa wapewe tu haki yao kama watoto wengine tatizo ni pale mnapotaka kuwadhulumu haki yao wakati hawana shida
Hivi unajua umri wa uzinzi hapa duniani?Sielezi kuhusu matumizi ya simu.Namaanisha uzinzi!Suluhu ni moja tu Mkuu - Ndoa iheshimiwe na kila mtu, na wazinzi wote wasiisogelee NDOA.
Ok, nilidhani mtoa mada ni ke, samahni katika hilo, wanawake wao wanachojua ninkwamba mwanaume ndie hutanguia kufa, kama marehemu kaacha watoto wa nje ni suala la kukubaliana na Hali hiyo na kuwapa wanachostahiliMIMI NI DUME LA MBEGU MKUU (Nitake radhi).
Ninachoongea ni ukweli na sina upande wowote kwenye hili Mkuu.
Soma Threads zangu utaelewa mimi ni mtu wa aina gani (Sina upande kwenye kusema ukweli).
Halafu ukipewa Talaka?Ukiachika unageuka mchepuko wa Mume wa mwanamke mwingine..Kuna uzi nimeusoma kuwa kuna mwanaume umefarik na kuacha watoto wawili wa nje ya ndoa ambao waliletwa kwenye msiba wa Mwanaume huyo.
Ukiangalia kwa umakini utaona upuuzi wa Mwanaume ndio unaleta mateso kwa Mke wa ndoa na watoto wa ndoa, maana Uzinzi wa mume unafanya mke aanze kuhangaika kupambania urithi na watu wa nje.
USHAURI WANGU
Wanawake msikubali uzinzi wa waume zenu Kwenye Ndoa, ukiona na ukathibitisha mume wako ni malaya basi dai talaka mapema iwezekanavyo.
Usisite kabisa, maana usipokuwa makini utaletewa watoto siku ya mazishi ya mume wako.