Wanawake msikubali uzinzi wa waume zenu

Wanawake msikubali uzinzi wa waume zenu

Kuna uzi nimeusoma kuwa kuna mwanaume umefarik na kuacha watoto wawili wa nje ya ndoa ambao waliletwa kwenye msiba wa Mwanaume huyo.

Ukiangalia kwa umakini utaona upuuzi wa Mwanaume ndio unaleta mateso kwa Mke wa ndoa na watoto wa ndoa, maana Uzinzi wa mume unafanya mke aanze kuhangaika kupambania urithi na watu wa nje.

USHAURI WANGU
Wanawake msikubali uzinzi wa waume zenu Kwenye Ndoa, ukiona na ukathibitisha mume wako ni malaya basi dai talaka mapema iwezekanavyo.

Usisite kabisa, maana usipokuwa makini utaletewa watoto siku ya mazishi ya mume wako.

Anza wewe kwanza, halafu uwe mfano ukishaomba talaka, unacheza na ndoa wewe!?!?! Kwanza ujaolewa ndo maana unaropoka.
 
Kwa Hiyo talaka ndio ufumbuzi? Kwa vipi ?

Utadai talaka kisha kwa umri wako wanaume utakokutana nao watakuwa ni wanaume za watu au marioos.

Ukitembea na mume wa mtu inakuwa inaondoa maana ya overreaction yako hadi kudai talaka, kwenda kuanzisha uhusiano na marioos ni kujidhihirisha mwenyewe tu.

Tafakali, Pima kwa mbele uko tayari kwa yajayo kabla ya kuendelea na mchakato wa talaka.
Mimi ni Mwanaume (Nitake radhi).

Kwahyo unaamini Mwanamke hawezi kupata Mume mwengine asie malaya kama wewe?

KAMA UNAJIJUA WEWE NI MALAYA KAA MBALI NA NDOA MKUU.
 
Michepuko mingine ni temporary tu mke ukivumilia kidogo baada ya muda yanaisha sasa Kwanini udai talaka?
Mimi ni Mwanaume (Nitake radhi).

Ngoja nikuulize swali Mkuu, kwahyo mke wako nayeye akilipiza kuigawa nje utafurahi?
 
Hapana cheating ni kosa la anayefanya na sio asiyefanya. Huu ujinga wa kuwasingizia wanawake kuwa ni sababu ya kufanya cheating ni ujinga uliopitiliza.

Cheating is a choice.

Kwa hiyo wewe ukininyima mapenzi choice yangu ni nini?

Uwewahi kuwa mwanaume au reference yako nini?

Pumbavu!!?
 
Wasikubali sawa lakini kwa kufanyaje?
Kwa kudai talaka?
Sizani kama ni ushauri wa hekima huo.

Napenda mafundisho ya Mwamposa ukimsikiliza vizuri anaondoa ujinga mwingi na mapokeo ya wake kwenye ndoa.

Yeye ni Mwanaume anajua hulka za kiume.

Mwanamke usitake kushindana na Mwanaume mtu ambae kaumbwa kuwa free 24/7.

Ndio maana Mwanaume anaweza kujisaidia popote bila kuchutama.
Akilipiza kuigawa nje K yake usikarike Mkuu na wala usimpe talaka.
 
Kwa Hiyo talaka ndio ufumbuzi? Kwa vipi ?

Utadai talaka kisha kwa umri wako wanaume utakokutana nao watakuwa ni wanaume za watu au marioos.

Ukitembea na mume wa mtu inakuwa inaondoa maana ya overreaction yako hadi kudai talaka, kwenda kuanzisha uhusiano na marioos ni kujidhihirisha mwenyewe tu.

Tafakali, Pima kwa mbele uko tayari kwa yajayo kabla ya kuendelea na mchakato wa talaka.
Ukiachika lazima uoelewe?
Utakuta mtu ana watoto 3 au 5 naye anataka kuoa au kuolewa sijui ugundue nini zaidi.
Kuna mshua ana watoto 4, binti yake wa kwanza 1 ni mkubwa umri wa kuolewa naye anataka kuoa. Unakaa na watoto maisha yanaendelea
 
Uzuri bhana hakuna mwenye ticket ya uzizi so hizo dhambi zake atapambana nazo tu

Kuhusu kuniletea watoto wa nje ntawapokea kwa moyo msafi kabisa ila kwa sharti moja tu
awe kazaa na mwanafunzi au mtoto mdogo ambae hajui kuzuia mimba, (kapata kwa bahati mbaya) lakin janamke kubwa tu lenye kujua danger na p2 uniletee hapana kwakweli azaona chimene chidameta nkhanga mpala
Kwahyo unahalalisha Mumeo kuzaa nje na visichana vidogo Mkuu?

Hongera Mkuu, ila nina wasiwasi na upendo ulionao kwa Mumeo.
 
Kuna uzi nimeusoma kuwa kuna mwanaume umefarik na kuacha watoto wawili wa nje ya ndoa ambao waliletwa kwenye msiba wa Mwanaume huyo.

Ukiangalia kwa umakini utaona upuuzi wa Mwanaume ndio unaleta mateso kwa Mke wa ndoa na watoto wa ndoa, maana Uzinzi wa mume unafanya mke aanze kuhangaika kupambania urithi na watu wa nje.

USHAURI WANGU
Wanawake msikubali uzinzi wa waume zenu Kwenye Ndoa, ukiona na ukathibitisha mume wako ni malaya basi dai talaka mapema iwezekanavyo.

Usisite kabisa, maana usipokuwa makini utaletewa watoto siku ya mazishi ya mume wako.
Si bure...kuna kitu unatumia
 
Eti umekuta sms chats tu unataharuki na kelele usiku kucha !

Sasa umkute Mwanaume mwingine anakunyoosha na nyumbani anahama anakususa anakwambia hataki makelele.

Utachunda!

Anahamia kwa mchepuko kwenye utulivu na ambako anachekewa [emoji3][emoji28]

Utabaki macho ng’wasungw’asu [emoji38][emoji38][emoji38]
Imebidi nicheke aisee! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wanaume wenye maadili na tunaojitambua tunazidi kupungua aise.

Nakiri wewe hujitambui Mkuu, samahani kwa kusema hivi.

Umenichekesha sana [emoji1]
 
Back
Top Bottom