Mjanja M1
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 4,197
- 14,900
- Thread starter
- #161
Wewe kweli WeakMan.Mwanamke awe mpole tu!
Mungu atampa mume adhabu anayostahili
Ila watoto wapewe haki yao ikithibitika ni watoto halali!
Watoto nje ya ndoa na ndani ya ndoa wafundishwe kupendana, maana yajayo katika maisha hayajulikani.
Mwanamke uwe mvumilivu
Michepuko imeanza enzi za manabii, hivyo Ni maisha ambayo hayataisha ulimwenguni
Hata wewe waweza kuwa mchepuko wa kesho mume akifa
Au nduguzo wa kike
Au wanao wa kike
Hao pia ni michepuko watarajiwa
Ukumbuke ndoa Ni chache kutosha wanawake wote, hata hivyo wanawake wanahitaji kuzaa wajipatie watoto wao!
Waume waliooa ndio pekee wenye potential ya kuhudumia watoto!
Muumba mwenyewe alishaweka misingi juu ya Ndoa. Wewe WeakMan hupaswa kuipindisha/kuivunja kwa kuhalalisha Uzinzi.