Wanawake msikubali uzinzi wa waume zenu

Wanawake msikubali uzinzi wa waume zenu

Michepuko mingine ni temporary tu mke ukivumilia kidogo baada ya muda yanaisha sasa Kwanini udai talaka?
 
Daudi alizini na kutubu, baada ya hapo hakulala na wanawake, akaletewa Abishagi Mshunami awe anampa joto ila na uzuri wa Abishagi hakutaka hata kulala naye kwa kuwa aliona matokeo ya uzinifu almanusura yamuuwe. Sulemani uzinzi ulisababisha amuache Mungu na kuitumikia miungu mbalimbali matokeo yake kafa na mbingu kaikosa.
Umejuaje kama suleimani hayuko mbinguni?
 
Imeandikwa; upendo huvumilia, hauhesabu mabaya , huamini yote n.k.

Lakini siku hizi kitu uvumilie kwa wanandoa hasa wanawake haupo,

Kwa kuhesabu mabaya sasa ndio mwake, juzi ulikosea hiki Mwaka ule kile Na hiki.
 
Eti umekuta sms chats tu unataharuki na kelele usiku kucha !

Sasa umkute Mwanaume mwingine anakunyoosha na nyumbani anahama anakususa anakwambia hataki makelele.

Utachunda!

Anahamia kwa mchepuko kwenye utulivu na ambako anachekewa [emoji3][emoji28]

Utabaki macho ng’wasungw’asu [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Wasikubali sawa lakini kwa kufanyaje?
Kwa kudai talaka?
Sizani kama ni ushauri wa hekima huo.

Napenda mafundisho ya Mwamposa ukimsikiliza vizuri anaondoa ujinga mwingi na mapokeo ya wake kwenye ndoa.

Yeye ni Mwanaume anajua hulka za kiume.

Mwanamke usitake kushindana na Mwanaume mtu ambae kaumbwa kuwa free 24/7.

Ndio maana Mwanaume anaweza kujisaidia popote bila kuchutama.
 
Uzuri bhana hakuna mwenye ticket ya uzizi so hizo dhambi zake atapambana nazo tu

Kuhusu kuniletea watoto wa nje ntawapokea kwa moyo msafi kabisa ila kwa sharti moja tu
awe kazaa na mwanafunzi au mtoto mdogo ambae hajui kuzuia mimba, (kapata kwa bahati mbaya) lakin janamke kubwa tu lenye kujua danger na p2 uniletee hapana kwakweli azaona chimene chidameta nkhanga mpala
 
Kuna uzi nimeusoma kuwa kuna mwanaume umefarik na kuacha watoto wawili wa nje ya ndoa ambao waliletwa kwenye msiba wa Mwanaume huyo.

Ukiangalia kwa umakini utaona upuuzi wa Mwanaume ndio unaleta mateso kwa Mke wa ndoa na watoto wa ndoa, maana Uzinzi wa mume unafanya mke aanze kuhangaika kupambania urithi na watu wa nje.

USHAURI WANGU
Wanawake msikubali uzinzi wa waume zenu Kwenye Ndoa, ukiona na ukathibitisha mume wako ni malaya basi dai talaka mapema iwezekanavyo.

Usisite kabisa, maana usipokuwa makini utaletewa watoto siku ya mazishi ya mume wako.
Dah hivi kwanini kila mtu anaamini mwanamme ndo ataanza kufa?
 
Eti umekuta sms chats tu unataharuki na kelele usiku kucha !

Sasa umkute Mwanaume mwingine anakunyoosha na nyumbani anahama anakususa anakwambia hataki makelele.

Utachunda!

Anahamia kwa mchepuko kwenye utulivu na ambako anachekewa [emoji3][emoji28]

Utabaki macho ng’wasungw’asu [emoji38][emoji38][emoji38]
We uko sawa kweli unajua laana ya Usaliti kwenye ndoa .
 
We uko sawa kweli unajua laana ya Usaliti kwenye ndoa .



Imeandikwa wapi?

Dua la kuku Kwani linampataga mwewe?

Umpe laana wewe ni mzazi wake?

Hata huyo mzazi inategemea maana Imeandikwa laana isiyo na sababu haimpati mtu.

Labda iwe ni coincidence tu .

Failure zipogo tu Hata kama Mwanaume hatachepuka.

Kwani wote wanaopitia mitihani ya maisha ni laana?

Utatofautishaje kati ya changamoto za kawaida zidi ya laana ya mke ? [emoji3][emoji28]
 
Ndugu wa mume wanajuaga Siri za ndugu yao (mume).

Tena ukiwa mchoyo hupendi ndugu wa mume nduguze wakisikia ana mchepuko ndio wanafurahi [emoji38][emoji38][emoji38]

Sasa mawifi hasa wa jamii ya washahili wanashindwa kubeba siri kifuani wanaamua liwalo na liwe wana hakikisha umejua ili kama kuvimba kisha upasuke [emoji38][emoji38][emoji38]
Hao mawifi wanakuwa wameolewa au single mothers na wenyewe. Kama wameolewa na wao wanachokishangilia kwa wifi yao si nacho kitatokea huko walikoolewa!

Binadamu uwezo wao wa kufikiri ni mdogo mno.
 
Hao mawifi wanakuwa wameolewa au single mothers na wenyewe. Kama wameolewa na wao wanachokishangilia kwa wifi yao si nacho kitatokea huko walikoolewa!

Binadamu uwezo wao wa kufikiri ni mdogo mno.


Labda nao iwapo ila zao zinafana za uchoyo lakini iwapo wao ni wakarimu na upendo kwa ndugu wa mume hayo hayawezi kuwafika abadani [emoji108][emoji108]
 
Tujifunze upendo na ukarimu kwa watu wote ina faida kuliko kuchagua chuki na choyo kwa ndugu wa mume.

Ndugu yao ndiye bread earner lakini hutaki ndugu zake wale wala kusaidiwa?!

Kwanini mnathamini sana kula wakati vinaishia chooni?!

Halafu mngejua ukarimu na upendo kwa watu ni takwa la kiimani na lina thawabu msingaliendekeza choyo na chuki kwa ndugu wa mume .
 
So far wanawake wengi walioachana kwa kudai talaka wameenda kujikuta wameingia kwenye uhusiano na wanaume za watu.

Sasa hapo unakuwa umefanya nini?

Umeruka jivu ukakanyaga tope au ?

Sababu ya umri fulani unakuta wa umri wako wengi wameoa.

Vinginevyo uokote Mario ambapo ni kujidhalilisha mwenyewe tu.

Mtoto mdogo ujibebishe kwake huoni haya wewe?

Halafu atakuongozaje huyo wakati no maturity.

Nawashauri kabla hamjajitia wazimu wa kudai talaka pimeni kwa mbele kule.
 
Tujifunze upendo na ukarimu kwa watu wote ina faida kuliko kuchagua chuki na choyo kwa ndugu wa mume.

Ndugu yao ndiye bread earner lakini hutaki ndugu zake wale wala kusaidiwa?!

Kwanini mnathamini sana kula wakati vinaishia chooni?!

Halafu mngejua ukarimu na upendo kwa watu ni takwa la kiimani na lina thawabu msingaliendekeza choyo na chuki kwa ndugu wa mume .
Unaelezea kwa uchungu imeshakukuta nn mkuu?
 
Mwanamke awe mpole tu!
Mungu atampa mume adhabu anayostahili
Ila watoto wapewe haki yao ikithibitika ni watoto halali!
Watoto nje ya ndoa na ndani ya ndoa wafundishwe kupendana, maana yajayo katika maisha hayajulikani.
Mwanamke uwe mvumilivu
Michepuko imeanza enzi za manabii, hivyo Ni maisha ambayo hayataisha ulimwenguni
Hata wewe waweza kuwa mchepuko wa kesho mume akifa
Au nduguzo wa kike
Au wanao wa kike
Hao pia ni michepuko watarajiwa
Ukumbuke ndoa Ni chache kutosha wanawake wote, hata hivyo wanawake wanahitaji kuzaa wajipatie watoto wao!
Waume waliooa ndio pekee wenye potential ya kuhudumia watoto!
 
I am not encouraging men to Cheat to their wives.

Sifagilii wanaume kuchepuka ninachotaka iwapo ikitokea mume kumkamata akicheat mwitikio wa wake zao uwe wenye hekima wa kujenga na sio kubomoa.

Wanawake waloolewa wajifunze kuwa jua wanaume na wajae maarifa ya kisaikolojia na hekima badala ya kuwaka hasira na kususa .
 
  • Thanks
Reactions: _ly
Talaka uidai pale tu unapoona kuna hatari ya uhai wako kuwa shakani.

Ikifika hapo kimbia talaka ikukute umeshatoka kwa huyo Mwanaume.

Lakini iwapo Mwanaume atatimiza wajibu wake wa msingi Kwanini utake taraka kwa njia ya sms tu ulizokuta kwenye Simu yake ?!

Yaani sms chats uruhusu zina nguvu kuliko wewe?

Kama wewe una nguvu kuliko hizo sms chats hakika hazitakufanya ukose usingizi sababu ya hizo.
 
Tatizo mtoto asipokula akashiba jyumbani lazima atakula kwa jirani tu wanawake wengi siku hizi ni wavivu kiwapa tendo la ndoa waumezao ukitaka upewe mbususu mpaka mgombane wewe Akikubali kifo cha mende dk 2 mke kojoa bwana mie nimechoka. Mme hashibi
Kwahyo suluhu ni kutoka nje ya Ndoa?

Samahani lakini naomba nikuulize swali, unaakili Mkuu?
 
Back
Top Bottom