Wanawake,,mpaka tuingie gharama ndio mseme ukweli huu?

Wanawake,,mpaka tuingie gharama ndio mseme ukweli huu?

inategemea na akili ya mwanaume ilivyo km anashikika masikio unaburuza tu km yuko smart ndio hivyo tena imekula kwako binti.

ila tatizo mabinti wengi wanajisahu kuwa mwanaume hamalizi jambo haraka.. wengi huendelea kufanya uchunguz na kutafakari KIUME,

akirudia kuuliza tena unajua km mwanzo kumbe mwenzio yuko kivingine kichwani.. kimbembe km akili imeganda na hujashtukia...

himidin labda bahati mbaya teh teh
 
^^
Ahaa kumbe wanaume vilaza ndio mnawambiaga? Noted..ila bahati mbaya ipi ya usaliti?
^^
 
Ila nahisi siku nikienda tuu huko nakuga na gunia la chawa na ndo maana sipendi kwenda huko maana huwa sipendi kutumia ile kitu ile wanasema kula pipi na maganda
Nitafikisha ujumbe kwa grafani11 aache wivu bana

hahaaa una maneno wewe.....mie kwakeli siku yakitokea muhusika hatafichwa

wala sitafuti mwingine wa kumbebesha mzigo usiokuwa wake..........
grafani11 anapotea sana...hadi napatwa na woga mie.......
 
Last edited by a moderator:
hahaaa una maneno wewe.....mie kwakeli siku yakitokea muhusika hatafichwa

wala sitafuti mwingine wa kumbebesha mzigo usiokuwa wake..........
grafani11 anapotea sana...hadi napatwa na woga mie.......

Bora kusema mapema bana kuwa aise huu mzigo sio wako ni wa fulani kuliko kumficha alee wee mpaka mwisho kuja kushtuka mtoto sio wake grafani11 sijui anadaiwa humu maana kupotea kwake kumezidi
 
Last edited by a moderator:
Bora kusema mapema bana kuwa aise huu mzigo sio wako ni wa fulani kuliko kumficha alee wee mpaka mwisho kuja kushtuka mtoto sio wake grafani11 sijui anadaiwa humu maana kupotea kwake kumezidi

hahaaa mwingine alitaka kujiua miaka 10 analea mtoto so wake.....
hii kitu ni hatari.....

my King grafani11 aache ubahili alipe tu hilo deni sijui atakimbia hadi lini
 
Last edited by a moderator:
^^
kuna ugumu gani mnaupata kusema ukweli kuwa mtoto huyu sio wako!
Mume anafikia hatua ya kupata mashaka,,baadae mnaenda dna test ndio unasema kweli mtoto sio wako.unaanza kusema oo! Ni wa kakaako au rafikio au ex wako.
Jamani,wanawake kuna ugumu gani mnapata kusema kweli?
^^
nitafanya dhambi zoote kwenye hii dunia lakini kumsingizia mwanaume mtoto si wake hapana kabisa !!
 
hahaaa mwingine alitaka kujiua miaka 10 analea mtoto so wake.....
hii kitu ni hatari.....

my King grafani11 aache ubahili alipe tu hilo deni sijui atakimbia hadi lini

Ni muhimu mtu akuambie mapema kabisa toka mimba inaanza kuwa aise hapa nilitoka nje hata kama ni ndoa kuvunjika ijulikane kuliko kumbebesha mtu mzigo ambao sio wake mpaka mwisho kisa unalinda ndoa na ni ndoa gani unalinda wakati ushaivunja mwenyewe
 
Last edited by a moderator:
Mm wa kwangu sijaingia gharama toka kamzaa mtoto "wetu" wa tatu desemba mwaka jana nikashtuka ni ugomvi tuuuu lkn bibie kang a ng ania mtoto wa kwako,nikauchuna tuuuu,tarehe 10 sept mwaka huu nimemshtukia kaandika kadi jina la baba yake halisi,kijana kamuokota huko kampa kazi mwenye miradi yetu!!mwenyewe bi dada anamuita meneja ukizingatia nami nilikuwa mkoa kikazi basiiii kijana kachukua nafasi,amri na bosi wa miradi yetu!!!!cha ajabu tunaishi pamoja kwenye kampaundi moja na mama yake yaani hata hakumuogopa mama yake kijana anatamba tuuu,nimepiga chini ASAP,bi dada karudi home kwa mama yake!!!!!wanawake mhhhhhhhhh haya bana.
 
Back
Top Bottom