Wanawake,,mpaka tuingie gharama ndio mseme ukweli huu?

Wanawake,,mpaka tuingie gharama ndio mseme ukweli huu?

Siwezi kumdanganya mpenzi wangu...siku ikitokea I will tell him the truth....

na mtu kama mechi za mchangani wacheza viwanja tofauti siku ikitokea lazima udangaye

Mbona mechi za mchangani ni poa tu lakini sasa hilo la pekepeku huko mchangani si majanga hayo jamani
 
Himidini kusema za ukweli hakuna anayependa kile alichogharamikia kiharibike, au kile alichotegemea asikipate, always we like to gain not to loose, kutokana ka hilo unaweza ukakuta mwanamke ana wanaume wawili, lakini hajui yupi kati yao ambaye anampenda kweli au mwenye nia ya kumuoa, so anakuwa anadili nao wote, by the time anakuja kujua kuwa anayetaka kumuoa ni mmoja kati ya hao, anajikuta anaujauzito ambao si wa mume mtarajiwa, na unaweza liolewa kwa kumwambia nina mimba yako, so anakuwa haju nani mhusika mpk mtoto azaliwe, AU unakuta kaolewa lakini bado anamapenzi na X wake wanakuwa bado wanado, sasa huyo anakuwa na tabia mbaya yaani hawezi kuacha .
Pia kusema ukweli kwenye ndoa kuwa Mtoto si wako , Mh! ni ngumu sana kwa sababu tunakuwa na wasiwasi kuwa Ndoa itavunjika na unweza bado anakuwa anakupenda.
 
^^
Kwa hiyo mwanamke anajisikia vizuri kuona mume anajisifia mbele ya wageni,,huyu mwanangu huyu mrithi wangu n.k
How do you handle guilty?
^^
 
Haha loh! Ugumu lazma uwepo kwa mwanamke mwenye wanaume wengi,either yeye mwenyewe anakuwa hajui toka mwanzo kuwa mimba ni ya nani! Or anajua ila kwasababu zake bnafsi hawezi kukwambia so kama ni mwanaume makini ndo hvy tena utawaza DNA utakapokuwa na mashaka la cvyo unaendlea kulea mtoto wa mwanaume mwenzio hadi kihama!!!! Ndo basi teena!!!
 
Kumbe wakati mwingine mwanamke hawezi jua mimba ya nani?
^^
 
Vipi inapotokea aliyekuwa mpenzi wako kaolewa akiwa na mimba yako? Tunafanyeje hapo? Je binti aseme ukweli au auchune? Na ni kwa mda gani atakaa kimya wakati mtoto anafanana copy wewe ambaye hukumuoa?
 
Ukweli hauna hiari..aseme tu ikilazimu nirudishiwe! Je unaona heri uambiwe au ujue mwenyewe
^^
 
^^
Ahaa kumbe wanaume vilaza ndio mnawambiaga? Noted..ila bahati mbaya ipi ya usaliti?
^^

dhambi huzaa dhambi na mwisho ni mauti... kwana kitendo cha kuku-chit ni mwanzo wa hiyo safar,

mpk unadaganywa hilo basi jua umeshashikwa masikio saaaaanaaa..

bahati mbaya kwa kuburuzwa..
 
^^
Kuna ugumu gani mnaupata kusema ukweli kuwa mtoto huyu sio wako!
Mume anafikia hatua ya kupata mashaka,,baadae mnaenda DNA test ndio unasema kweli mtoto sio wako.Unaanza kusema oo! Ni wa kakaako au rafikio au ex wako.
Jamani,wanawake kuna ugumu gani mnapata kusema kweli?
^^
she will be admitting to infidelity and kusex bila kinga. watu wengi hatupendi kukiri tukicheat, women are no different.
 
Lakini mkuu kila mtu anaangalia interest zake. Sasa uoni kama huyu binti akisema ukweli kwa mumewe aliyemuoa atavunja ndoa. Na je no sahihi kwa wewe kudai mtoto inapotokea kuna uficho na ukimya mwingi kutoka upande wa pili?
 
Chanzo cha mtu kuwa na motto wa nje ni cheating. Na hii cheating ipo kwa wote ke/me sema kwa me imeonekana ni haki kwao kufanya hivyo na hata kuzaa nje ya ndoa nayo kwa me ni poa tu hata jamii haioni kuwa ni kitu cha ajabu/tatizo. Wazee wa zamani haya yaliwakuta hasa huko vijijini lkn walihandle vipi mambo haya , wao waliwapokea watoto hao na hakuna aliyesema huyu ni mtoto wa flani hata kama kafanana na mtu huyo.Huyo mtoto alilelewa vizuri kama wengine na maisha yalisonga. Kwa mtazamo wangu issue kubwa hapa si mtoto bali ni uaminifu kwenye ndoa sasa hatua anayoweza kuchukua mtu pindi ajuapo mwenzie anacheat inatofautiana kati ya mtu na mtu kama hivi wengine kwa kukosa confidence hutumia kisingizio cha mtoto kuwa si wake ili kuchukua hatua stahiki.
 
Back
Top Bottom