Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,274
- 13,433
hata wanaume wanaonaga aibu bwana na mnavojua kutusema mwanamke gani hazai kazi kula tu ukija kugundua tatizo ni lako mnakuwa wadogo ka nukta.
siyo kwamba tunaona aibu bali yanakuwa maumivu ya moyo, ntaishia kusononeka tu.......ugumba sawa na kilema inamaana ukiwa kilema utaona aibu?