Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,392
- 96,718
hahahha wanaume mkiotewaga mnalalamika wakati wenyewe vimeo ka nini! (baadhi msije nipandia bure:tape🙂
Afu wewe... Hebu twende PM nikakunong'oneze kitu.
hahahha wanaume mkiotewaga mnalalamika wakati wenyewe vimeo ka nini! (baadhi msije nipandia bure:tape🙂
hahahaha...pm naogopa kuna gizaAfu wewe... Hebu twende PM nikakunong'oneze kitu.
na nyie njiangalie mana kuna mwingine kila mimba ya mwanamke aliyekuwa nae alikuwa anabambikiziwa mwisho wa siku anakuja kuoa miaka inaenda hapati mtoto kuchekiwa kumbe jamaa hana uwezo wa kupata mtoto,akaanza kuwakumbuka alio
wakataa kumbe wangemtoa aibu.
mm sion kama kuna aibu ya kukosa uwezo wa kuzaa hyo ni mipango ya mungu aibu ni kulea mtoto asiyekuwa wako.....unajitutumua kwa wenzio kuwa unafamilia kumbe wa wenzio aisee hyo n aibu
Hapana HIMIDINI huyo alikuwa kazidisha, mpk anamkaribisha ndani mwanaume ambaye si mumewe wa ndoa!!!! Mh!!! Hiyo kali kwa kweli.
Enyi wanaume
Watoto ni zawadi ambayo si kila mtu anapewa/pata
Hivyo Mkizawadiwa na wanawake zenu mshukuru
Kwanza kitanda hakizai haramu
Hayo ma- dna hayaendani na maadili ya kiafrica
Ni hayo tu
aibu nyingine ni kuzaa watoto ushindwe kuwahudumia na kuwatelekeza.mm sion kama kuna aibu ya kukosa uwezo wa kuzaa hyo ni mipango ya mungu aibu ni kulea mtoto asiyekuwa wako.....unajitutumua kwa wenzio kuwa unafamilia kumbe wa wenzio aisee hyo n aibu
Kuna ugumu sana wa wanawake kusema ukweli
Wakati mwingine nahisi labda wameumbwa hivyo
Hapa kila mtu ni mwema,hili tatizo linasababisha hata ukweli kuvurugwa sana
Ukisema ukweli au kumwambia mtu ukweli unajaza watu
Kwenye suala hili ni tatizo kubwa
Wanawake hawako kwaajili ya ukweli kwenye suala hili kabisa!