Wanawake,,mpaka tuingie gharama ndio mseme ukweli huu?

bestito umeongea hapa wao wanaona upande mmoja tu wa KE ndio tuna makosa kwao hawaoni (cheating)
Chanzo cha mtu kuwa na motto wa nje ni cheating. Na hii cheating ipo kwa wote ke/me sema kwa me imeonekana ni haki kwao kufanya hivyo na hata kuzaa nje ya ndoa nayo kwa me ni poa tu hata jamii haioni kuwa ni kitu cha ajabu/tatizo. Wazee wa zamani haya yaliwakuta hasa huko vijijini lkn walihandle vipi mambo haya , wao waliwapokea watoto hao na hakuna aliyesema huyu ni mtoto wa flani hata kama kafanana na mtu huyo.Huyo mtoto alilelewa vizuri kama wengine na maisha yalisonga. Kwa mtazamo wangu issue kubwa hapa si mtoto bali ni uaminifu kwenye ndoa sasa hatua anayoweza kuchukua mtu pindi ajuapo mwenzie anacheat inatofautiana kati ya mtu na mtu kama hivi wengine kwa kukosa confidence hutumia kisingizio cha mtoto kuwa si wake ili kuchukua hatua stahiki.
 
Mm wa kwangu sijaingia gharama toka kamzaa mtoto "wetu" wa tatu desemba mwaka jana nikashtuka ni ugomvi tuuuu lkn bibie kang a ng ania mtoto wa kwako,nikauchuna tuuuu,tarehe 10 sept mwaka huu nimemshtukia kaandika kadi jina la baba yake halisi,kijana kamuokota huko kampa kazi mwenye miradi yetu!!mwenyewe bi dada anamuita meneja ukizingatia nami nilikuwa mkoa kikazi basiiii kijana kachukua nafasi,amri na bosi wa miradi yetu!!!!cha ajabu tunaishi pamoja kwenye kampaundi moja na mama yake yaani hata hakumuogopa mama yake kijana anatamba tuuu,nimepiga chini ASAP,bi dada karudi home kwa mama yake!!!!!wanawake mhhhhhhhhh haya bana.

^^
Haya ndio mnataka akina Munkari Lisa Nivea Heaven on earth
^^:A S-confused1:
 
Last edited by a moderator:
Chanzo cha mtu kuwa na motto wa nje ni cheating. Na hii cheating ipo kwa wote ke/me sema kwa me imeonekana ni haki kwao kufanya hivyo na hata kuzaa nje ya ndoa nayo kwa me ni poa tu hata jamii haioni kuwa ni kitu cha ajabu/tatizo. Wazee wa zamani haya yaliwakuta hasa huko vijijini lkn walihandle vipi mambo haya , wao waliwapokea watoto hao na hakuna aliyesema huyu ni mtoto wa flani hata kama kafanana na mtu huyo.Huyo mtoto alilelewa vizuri kama wengine na maisha yalisonga. Kwa mtazamo wangu issue kubwa hapa si mtoto bali ni uaminifu kwenye ndoa sasa hatua anayoweza kuchukua mtu pindi ajuapo mwenzie anacheat inatofautiana kati ya mtu na mtu kama hivi wengine kwa kukosa confidence hutumia kisingizio cha mtoto kuwa si wake ili kuchukua hatua stahiki.

^^
Hoja yangu si kukubali wala kukataa mtoto BALI kwa nini inakuwa vigumu kwa mwanamke kuwa MKWELI KABLA UKWELI HAUJATAFUTWA
^^
 
^^
Kuna ugumu gani mnaupata kusema ukweli kuwa mtoto huyu sio wako!
Mume anafikia hatua ya kupata mashaka,,baadae mnaenda DNA test ndio unasema kweli mtoto sio wako.Unaanza kusema oo! Ni wa kakaako au rafikio au ex wako.
Jamani,wanawake kuna ugumu gani mnapata kusema kweli?
^^

aisee! Umenikumbusha hiki kisa na mpaka napandwa na hasira! Wakat mwngne nikiona mwanamke katelekezwa au ananyanyaswa na bwana ake nafurahi sana.......kuna baadh ya wanawake hawana maana kabisa~^
 
^^
Hoja yangu si kukubali wala kukataa mtoto BALI kwa nini inakuwa vigumu kwa mwanamke kuwa MKWELI KABLA UKWELI HAUJATAFUTWA
^^
Ni vigumu sana mtu anaependa maisha kuamua kujichoma kisu mwenyewe. Namaanisha kuwa ni vigumu kwa mtu yeyote kukiri kosa hasa linaloweza kubadili mustakabali wote wa maisha yake. Si jambo rahisi kukiri jambo kubwa kama hili na ndio maana huko nyuma mtu alikua haulizwi ingawa mume alikua anajua fika kuwa huyu mtoto si wangu na kwa mila na desturi ilichukuliwa kua mtoto akizaliwa ndani ya ndoa hata kama mimba haikua ya mume basi mtoto huyo automatically ni wa mwenye mke kwa sababu ndiye aliyeposa mke. Kuna kisa hiki ; mtu flani alikuta mahala kibao kimeandikwa bei ya uongo full..., uongo nusu..., ukweli nusu....lkn bei ya ukweli haikuonyeshwa kwenye ubao akauliza sasa bei ya ukweli ni kiasi gani akaambiwa ingia ndani uone , alipoingia ndani akaambiwa bei ya ukweli ni maisha yako/ ina cost life. Siku hizi mnapenda sana kuchunguza , wanasema ukimdodosa sana kuku humli.
 
Siwezi kumdanganya mpenzi wangu...siku ikitokea I will tell him the truth....

na mtu kama mechi za mchangani wacheza viwanja tofauti siku ikitokea lazima udangaye

Please, huyo wa kumdanganyi niswe mimi.... Hao wanaosema wadanganywe tu hata wakiwakuta watupu, shauri yao
 
Ni vigumu sana mtu anaependa maisha kuamua kujichoma kisu mwenyewe. Namaanisha kuwa ni vigumu kwa mtu yeyote kukiri kosa hasa linaloweza kubadili mustakabali wote wa maisha yake. Si jambo rahisi kukiri jambo kubwa kama hili na ndio maana huko nyuma mtu alikua haulizwi ingawa mume alikua anajua fika kuwa huyu mtoto si wangu na kwa mila na desturi ilichukuliwa kua mtoto akizaliwa ndani ya ndoa hata kama mimba haikua ya mume basi mtoto huyo automatically ni wa mwenye mke kwa sababu ndiye aliyeposa mke. Kuna kisa hiki ; mtu flani alikuta mahala kibao kimeandikwa bei ya uongo full..., uongo nusu..., ukweli nusu....lkn bei ya ukweli haikuonyeshwa kwenye ubao akauliza sasa bei ya ukweli ni kiasi gani akaambiwa ingia ndani uone , alipoingia ndani akaambiwa bei ya ukweli ni maisha yako/ ina cost life. Siku hizi mnapenda sana kuchunguza , wanasema ukimdodosa sana kuku humli.

^^
Da ama kweli wanawake ni kuangalia tu
^^
 
^^
Da ama kweli wanawake ni kuangalia tu
^^
Unajua tatizo si wanawake bali ni uaminifu wa wanandoa kwa ujumla. Tukiangalia %wise wenye tatizo kubwa la kuzaa nje ya ndoa wanaume wanaongoza kwa % ya juu sana. Wanawake cheaters they are very few si kama tunavyofikiri. Kwa bahati mbaya tuliowengi tunawaangalia wanawake wa mahala flani na kufikiri kwamba wanawake wengi ndivyo walivyo which in reality is not true. Wanawake ni waaminifu sana na wavumilivu hata wanaweza kuwapokea/kulea watoto wasio wao kwa mikono 2
 
Kwenye uvumilivu sawa......lakini hapo kweny uaminifu ngoja nijikune kichwa:frusty:
^^
 
^^
Kuna ugumu gani mnaupata kusema ukweli kuwa mtoto huyu sio wako!
Mume anafikia hatua ya kupata mashaka,,baadae mnaenda DNA test ndio unasema kweli mtoto sio wako.Unaanza kusema oo! Ni wa kakaako au rafikio au ex wako.
Jamani,wanawake kuna ugumu gani mnapata kusema kweli?
^^

hahahha wanaume mkiotewaga mnalalamika wakati wenyewe vimeo ka nini! (baadhi msije nipandia bure:tape🙂
 
hahahha wanaume mkiotewaga mnalalamika wakati wenyewe vimeo ka nini! baadhi msije nipandia bure:tape:

^^
Kumbe tunakomoana? Manjonjo yoote hayaa :busu kazi bure
^^
 
Back
Top Bottom