Little Angel
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 1,212
- 372
Last edited by a moderator:
sasa kama mimi nikivaa kinguo changu kifupi napendeza,wewe mtazamaji inakuhusu nini,mwanamke kupendeza bana!kuolewa kusisababishe mtu kushindwa kujiweka vizuri!tusipovaa hivyo mume akikutana navyo anashawishika akhaaa!
passion lady upo sahihi kabisa...kwani kuolewa ndo kujivalia madera tu full tym jaman?
lol mi nikiamua kuvaa vyovyote ni poa as long as najisikia amani moyoni i dont care kabisa eti naangaliwa haaa...mtakomaje na kizazi hiki!
Eti wake za watu,wakiwa rafu pia wanasema,navaa kitu roho inataka ili hata huyo mume akikutana navyo road anaona vya kawaida,mi hua nikivaa dera watu wananishangaa coz nishawazoesha kuvaa vitu vya dizaini hizo,anaenishangaa namuona mshamba tu,au sio little angel?kujizeesha hakunaga naw days!
Uvae nguo fupi uwe na figure basi,wengine utakuna wameng'ang'ana na vimini miguu yenyewe kama fimbo ya pool.
wameskia ngoja nirudie,Hatuachi min ng'ooo jamani,as far as tuna miguu ya biere au hata kama tuna miguu ya chupa ya gongo hatuachiiiiiiii!
copp;LITTLE ANGEL!
kwani joto linawapiga wenye miguu mizuri peke yake?:madgrin:
na hapa pia kijungu kinahusika sana kupendezesha kimini..lol passion lady watu lazima wageuze shingo.. sisi tunavaa ili tupendezeshe miili yetu jamani sio nyie mtutumbulie mimacho kama fundi saa..inahuu
haswaaa little angel umenena,mtt guu guu,inye usipime,y nisivae kimini?watajiju!unakuta jamaa kasahau kufanya kilichomleta katumbua mjicho ka mjusi kabanwa na mlango inahusu?akamnunulie na wa kwake kimini avae sio kutusema huku alaaa!
Kwa maadili ya kitanzania nguo fupi hazileti picha nzuri znapovaliwa most especially na mwanamke aliye olewa coz anatakiwa kuwa mfano wa kuigwa.......so hakuna sababu ya mwanamke yoyote kuvaa nguo fupi, lakini ckuhizi imekuwa kama fashion so juc deal with those thatu can control and advice them kutovaa nguo fupi and the rest muachie Mungu.......
Nipo Nyerere road hapa katikati ya Jiji la Mwanza.Hapa nilipo kuna wadada wawili wote wameolewa na wamevaa sketi fupi sana.Kitendo hiki kinanifanya nijiulize maswali yafuatayo.Kwanza nikiri kuwa huu ni muendelezo wa wanawake kuvaa nguo za ajabu ajabu bila kujali wameolewa ama la.
'
Hivi mwanamke ambae ameolewa kwanini anavaa nguo za kuonesha maungo yake?
'
Sihalalishi mwanamke alieolewa kuvaa hivyo kwa kuwa sina mamlaka hayo,lakini pia huenda ambao hawajaolewa wakawa wanaonesha matangazo ya "biashara"!
'
Lakini inakuaje pale unapoifanyia maonesho biashara au bidhaa ambayo tayari imeshanunuliwa?
'
Au kuna sababu ya wake za watu kuonesha maungo yao?
Kwani ni ufupi upi unaoongelewa hapa?kila viazi Lina sehemu yake so Kama mtu amevaa viazi ambalo ni la sehemu huskies na hajavunja amani haina shida kwani tz tunauhuru wa kuchagua cha kuvaa bila kuvunja Sheria za nchi.