Wanawake mnaweza kujiuliza hili!

Wanawake mnaweza kujiuliza hili!

What you wear tells who you are! Ni umalaya tu unawasumbua kwa nini usiende kumfunulia mmeo mapaja yako,mitaani watu watakuona kahaba uliyekubuhu.
 
What you wear tells who you are! Ni umalaya tu unawasumbua kwa nini usiende kumfunulia mmeo mapaja yako,mitaani watu watakuona kahaba uliyekubuhu.

halafu wakishamuona kahaba??.....hivi mtu asiwe comfortable kwa sababu mtu mwingine anakereka unnecessarily?!.....
 
halafu wakishamuona kahaba??.....hivi mtu asiwe comfortable kwa sababu mtu mwingine anakereka unnecessarily?!.....

unapovaa lazima uangalie heshima yako kwa jamii inayokuzunguka,ndugu zako,watoto wako unawafundisha nini siyo tu eti kwa mtazamo wako unajiona umependeza basi,we unafikiri kwa nini sehemu zingine wakipita wanazomewa,wanamwagiwa maji machafu?,maofisi mengine yamepiga maruku nguo kama hizo?
 
Mwanamke kuvaa nguo fupi ni kutangaza biashara?
 
Kama waume zao bado ni vicheche inabidi na wao wachecheke!
 
unapovaa lazima uangalie heshima yako kwa jamii inayokuzunguka,ndugu zako,watoto wako unawafundisha nini siyo tu eti kwa mtazamo wako unajiona umependeza basi,we unafikiri kwa nini sehemu zingine wakipita wanazomewa,wanamwagiwa maji machafu?,maofisi mengine yamepiga maruku nguo kama hizo?

heshima ni mavazi?????....hao wanaowamwagia maji ndo wenye tatizo kwasababu huwezi kumlazimisha mtu afanye utakavyo wewe.....mavazi ni suala binafsi ni kama choice ya chakula....huwezi kukasirika eti kwasababu mtu anakula kitu usichokipenda......watu bado mnaishi kufurahisha jamii??
 
Kwanza aliyekuhakikishia kuwa wanawake wakivaa nguo fupi ni matangazo nani?

Na ni wanawake wa wapi?

Na nguo fupi inaanzia wapi?

NA wanamme wanavaa kujitangaza kwa wanawake?
 
Yaani fasheni ya kimini inipite kisa sina ulegi? Lini nitapata ulegi huo?

Hakuna raha kama kuwa comfortable in your own skin, mie nina chelewa lakini kimini kwa raha zangu

Uvae nguo fupi uwe na figure basi,wengine utakuna wameng'ang'ana na vimini miguu yenyewe kama fimbo ya pool.
 
Na nyie mnaovaa kata kei mbona hatuwabughudhi, tunavaa vimini kwa raha zetuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Ni mm apa uliniona na tena ukome huyo mume ulinipa ww?usinikoseshe soko bureee,,biashara asubuh usiku mahesabu
Nipo Nyerere road hapa katikati ya Jiji la Mwanza.Hapa nilipo kuna wadada wawili wote wameolewa na wamevaa sketi fupi sana.Kitendo hiki kinanifanya nijiulize maswali yafuatayo.Kwanza nikiri kuwa huu ni muendelezo wa wanawake kuvaa nguo za ajabu ajabu bila kujali wameolewa ama la.
'
Hivi mwanamke ambae ameolewa kwanini anavaa nguo za kuonesha maungo yake?
'
Sihalalishi mwanamke alieolewa kuvaa hivyo kwa kuwa sina mamlaka hayo,lakini pia huenda ambao hawajaolewa wakawa wanaonesha matangazo ya "biashara"!
'
Lakini inakuaje pale unapoifanyia maonesho biashara au bidhaa ambayo tayari imeshanunuliwa?
'
Au kuna sababu ya wake za watu kuonesha maungo yao?[/QUO
 
Kongosho nilisema huenda wakawa wanafanya matangazo sikusema nina hakika
'
Nguo fupi ni ile inayoonesha maungo yako yale "muhimu"!
 
Last edited by a moderator:
aibu kwa nani???mvaaji???...what if haoni aibu???

Anaetembea na kuonesha maungo yake bila aibu ni mwenye matatizo ya akili pekee.Huyo kama haoni aibu atakuwa na mushkeli kwenye kufikiri kwake!
 
aah hebu mtuache tupumue nani kawabia tunatangaza biashara?

as long as am comfortable navaa tu niwe na chelewa au fito its ok to me
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom