Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
So kwako kuonesha maungo yako ndo kupendeza?Na unavaa kwaajili ya watu?
sivai kwa ajili ya watu wewe,navaa kufurahisha nafsi yangu babu eee,hata nikitembea na bikini ni maamuzi yangu,naishi niwezavyo siishi watakavyo!all n all my husband yupo hapy na mavazi yangu!who else atanibabaisha!