Wanawake mnaweza kujiuliza hili!

Wanawake mnaweza kujiuliza hili!

Mhhh! wabongo bana!
Mbona jamaa wa kimasai wengi hawavai Nguo za ndani wala suruali na muda mwingine Madude yao yananinginia,
mama zao na dada zao wanavaa zile bangili za miguuni hatushangai, na tunawasifu kweli jinsi wanavyobeba uAfrika wao!
wengine tunawapigia kelele kweli na kuwadhalilisha!
Hizi Double standards zatoka wapi??
 
Nipo Nyerere road hapa katikati ya Jiji la Mwanza.Hapa nilipo kuna wadada wawili wote wameolewa na wamevaa sketi fupi sana.Kitendo hiki kinanifanya nijiulize maswali yafuatayo.Kwanza nikiri kuwa huu ni muendelezo wa wanawake kuvaa nguo za ajabu ajabu bila kujali wameolewa ama la.
'
Hivi mwanamke ambae ameolewa kwanini anavaa nguo za kuonesha maungo yake?
'
Sihalalishi mwanamke alieolewa kuvaa hivyo kwa kuwa sina mamlaka hayo,lakini pia huenda ambao hawajaolewa wakawa wanaonesha matangazo ya "biashara"!
'
Lakini inakuaje pale unapoifanyia maonesho biashara au bidhaa ambayo tayari imeshanunuliwa?
'
Au kuna sababu ya wake za watu kuonesha maungo yao?

Waache wanawake waishi kwa raha zao. Wewe inakuhusu nini mwanamke akiamua kuonesha maungo yake? Acheni kufuatilia maisha ya watu.

Kama mumewe hajamkataza acha avae, pengine wote wanapenda.

Binafsi sidhani kama kuna umuhimu wa mtu kukereka na mavazi ya mtu mwingine ambae hamhusu hata kidogo (sio mke, ndugu wala rafiki yako) maana kila mtu na mambo yake. Wewe unayoyaita maadili pengine mwenzio hayajui wala hayamhusu, kimaadili kwao wanafunga kaniki fupi tu chini na maziwa wanaacha wazi. Leo hii anakuja mjini, anajitahidi kujifunika kwa kiasi chake we unamsema kuwa anaenda KINYUME na maadili bila kufikiria kwamba maadili yako sio lazima yawe yake yeye.
Kiazi mwingine huyu,,we unafuata maadili au dini yako inasema hivyo?usiwe unafikiri kwa MASABURI
 
Nipo Nyerere road hapa katikati ya Jiji la Mwanza.Hapa nilipo kuna wadada wawili wote wameolewa na wamevaa sketi fupi sana.Kitendo hiki kinanifanya nijiulize maswali yafuatayo.Kwanza nikiri kuwa huu ni muendelezo wa wanawake kuvaa nguo za ajabu ajabu bila kujali wameolewa ama la.
'
Hivi mwanamke ambae ameolewa kwanini anavaa nguo za kuonesha maungo yake?
'
Sihalalishi mwanamke alieolewa kuvaa hivyo kwa kuwa sina mamlaka hayo,lakini pia huenda ambao hawajaolewa wakawa wanaonesha matangazo ya "biashara"!
'
Lakini inakuaje pale unapoifanyia maonesho biashara au bidhaa ambayo tayari imeshanunuliwa?
'
Au kuna sababu ya wake za watu kuonesha maungo yao?

Unaonaje kwenye maoni ya katiba ukashauri wanawake wote tuwe tunavaa mahijabu na kuachia macho tu kama waislamu. Nafikiri hii itasaidia kuwa same understanding ya nguo ndefu, kuficha viungo (as if macho sio kiungo), na kulinda utu!
 
Awe mfano wa kuigwa na nani?...kuna mahali popote kuna nukuu hii au umejisemea tu??
uige maisha/tabia za mtu zinakuhusu nini??

Mbona huvai kimini ukiwa na wazaz wakog?ni ushamba wa kugeza kila kitu..na usijidanganye km ndo unatutega wanaume mi ntakutamani nikutumie km kondom then cwez oa m/mke mwenye hzo mambo nivalimie mimi mme wako unamuonyesha mat.a.k.o nani au mapaja?
 
Eiyer, watu wamenena. Elewa kwamba kila mtu ana standard zake za mavazi. Huenda unachovaa wewe wengine kamwe hawatathubutu kuvaa, haimaanishi kuwa kuna tatizo na nguo zako. La hasha. Mavazi ni relative.

Kwani nguo fupi ikoje? Wengine ikivuka kisigino tayari umeonesha too much. Na maungo yao hasa ni nini? Mapaja? Wangekuwa wamevaa kaptula ya mazoezi ungekuja kuanzisha thread hapa? Aisee unanikumbusha mwaka 94 mama yangu alikuwa amevaa suruali watu wanamshangaa mtaani Dar es Salaam. Ilikuwa suruali ya "heshima", yaani haijabana maungo ya kitambaa cha cotton, sio jeans. Siku hizi suruali ni kitu cha kawaida. Subiri utazoea hizo sketi in no time.

Otherwise, mind your business. Mkataze mkeo au binti zako lakini si watu usiowafahamu.

Mbona mnakatazwa kanisani kuvaa vimini km ni nguo za heshima?mtageza sna Umagharib kwan sasa hiv hakuna tofaut ya mnyama na binadam wote wapo uchi by da way ujana na ushamba ndo unawasumbua
 
Last edited by a moderator:
Mbona huvai kimini ukiwa na wazaz wakog?ni ushamba wa kugeza kila kitu..na usijidanganye km ndo unatutega wanaume mi ntakutamani nikutumie km kondom then cwez oa m/mke mwenye hzo mambo nivalimie mimi mme wako unamuonyesha mat.a.k.o nani au mapaja?

Mbona umenivalia njuga? Habari za kunitumia kama kondom zinatoka wapi? Siku nyingine usidandie treni mbele!
Tena koma kusema wazazi wangu hujui kama wapo hai au wamekufa. Never quote me in any post, tafadhali sana!!
 
Pole sana.ila tambua kila mtu anamtazamo wake juu ya mavazi na mtazamo wangu mimi ni huo.kuna nguo za kuogelea,za job na hapa inategemea na Aina ya kazi unayofanya,za mazoezi,za mtoko,za kuingilia kwenye nyumba za ibada n.kkwa Hiyo mtu anatakiwa achague nguo kutokana na eneo husika.na uelewe kuwa unachokipenda wewe sicho akipendacho mwenzio wengine mavazi hayo wananunuliwa na waume zao na ndo wanapenda wavae hivyo.

Nawahurumia sana wanao!
 
sawa furahisha nafsi ila usishangaze jamii inayokuzunguka pia Suprise!unaweza tazamwa kama umependeza pia waweza tazamwa ukiwa kituko mbele za watu,mi kuna umri ukifika sina budi kustopisha vimini vya kutisha kwa sasa twende kazi!

Kwanini ustopishe ukifika huo umri!
 
Mhhh! wabongo bana!
Mbona jamaa wa kimasai wengi hawavai Nguo za ndani wala suruali na muda mwingine Madude yao yananinginia,
mama zao na dada zao wanavaa zile bangili za miguuni hatushangai, na tunawasifu kweli jinsi wanavyobeba uAfrika wao!
wengine tunawapigia kelele kweli na kuwadhalilisha!
Hizi Double standards zatoka wapi??

Unadhani kama kuna jamii au mtu anafanya jambo fulani bila kusemwa ndo linakuwa limehalashwa?
 
Kaunga inamaana unataka kuniambia hujui ninachoongelea mpaka unaniambia macho?
'
Am suprised!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Kwanini ustopishe ukifika huo umri!

umri unakua ushaenda hata nikivaa sidhani kama nitapendeza inavyostahili,zipo nguo za umri huo bana ambazo nikivaa basi wakodoaji wataendelea kukodoa tu!
 
HoneyBee ,hivi inahitaji uwezo gani wa kujua kuwa ni ufupi gani ninaouzungumzia hapa?
'
Hebu acha masikhara,Binadamu alie na uwezo mdogo tu wa kufikiri anajua kabisa maeneo gani hayatakiwi kuonekana barabarani,na yoyote akionekana huenda atakua ana matatizo ya kufikiri.
'
Mambo haya yanaeleweka na wewe unajua kabisa ni wapi mwili wako unatakiwa usitiriwe.
'
Kwanini unavaa nguo?
 
Last edited by a moderator:
umri unakua ushaenda hata nikivaa sidhani kama nitapendeza inavyostahili,zipo nguo za umri huo bana ambazo nikivaa basi wakodoaji wataendelea kukodoa tu!

So kwako kuonesha maungo yako ndo kupendeza?Na unavaa kwaajili ya watu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom