Wanawake mnaweza kujiuliza hili!

Wanawake mnaweza kujiuliza hili!

heshima ni mavazi?????....hao wanaowamwagia maji ndo wenye tatizo kwasababu huwezi kumlazimisha mtu afanye utakavyo wewe.....mavazi ni suala binafsi ni kama choice ya chakula....huwezi kukasirika eti kwasababu mtu anakula kitu usichokipenda......watu bado mnaishi kufurahisha jamii??

Hivi unateteaje jambo hili la aibu?
 
Anaetembea na kuonesha maungo yake bila aibu ni mwenye matatizo ya akili pekee.Huyo kama haoni aibu atakuwa na mushkeli kwenye kufikiri kwake!

maungo gani?!....mapaja?!...umeconsider mtazamo wake kuhusu kinachotakiwa kufichwa?!....anatoka society gani??....kwao boundaries za maungo "nyeti" ziko wapi?....
 
Swala la kujistili si la wanawake walioolewa peke yao bali ni la wanawake wote na hao wanaovaa mavazi ya kuoneshe sehemu zao/maungo basi wanazizalilisha ndoa zao!
 
Kuna tofauti kati ya alieba ili apate kula na yule ambae ameiba wakati ana chakula.(Lakini wote ni wezi)
 
NyotaMalaika ukienda kwenye nchi ambayo kuvuta bangi ni kosa na ulikotoka ni halali,utavuta?
 
Last edited by a moderator:

kama kosa kisheria sitovuta.....kama kosa as in kuna baadhi ya watu inawakereketa tuu ,nitavuta kwa raha zangu....thats if mimi ni mtumiaji wa bangi n it makes me feel good....
 
Last edited by a moderator:
Mi nina uhakika yeyote anaevaa mavazi ya nusu uchi atakua hajiamini Kama yeye ni mwanamke mrembo na anahitaji watu wamuone kuwa yeye Yupo na ni mrembo hivyo kwa kuvaa kwake nusu uchi na watu kumwangalia kwa mshangao yeye anaona yuko safi sana.hao ni wa kuonea huruma kwani wana vidonda kwenye ubongo na wa kivaa nguo za kusitiri miili Yao basi wanasikia maumivu makubwa sana kwenye ubongo
 
NyotaMalaika ,unadhani ni kwanini serikali imekataza uvutaji wa bangi?
 
Last edited by a moderator:
Mi nina uhakika yeyote anaevaa mavazi ya nusu uchi atakua hajiamini Kama yeye ni mwanamke mrembo na anahitaji watu wamuone kuwa yeye Yupo na ni mrembo hivyo kwa kuvaa kwake nusu uchi na watu kumwangalia kwa mshangao yeye anaona yuko safi sana.hao ni wa kuonea huruma kwani wana vidonda kwenye ubongo na wa kivaa nguo za kusitiri miili Yao basi wanasikia maumivu makubwa sana kwenye ubongo

Asante sana mkuu kwa pointi ya msingi!
 
unadhani duniani kuna definition moja ya kujisitiri?
 
Mi nina uhakika yeyote anaevaa mavazi ya nusu uchi atakua hajiamini Kama yeye ni mwanamke mrembo na anahitaji watu wamuone kuwa yeye Yupo na ni mrembo hivyo kwa kuvaa kwake nusu uchi na watu kumwangalia kwa mshangao yeye anaona yuko safi sana.hao ni wa kuonea huruma kwani wana vidonda kwenye ubongo na wa kivaa nguo za kusitiri miili Yao basi wanasikia maumivu makubwa sana kwenye ubongo

hahaaa...nani kakuambia kuvaa nguo ndefu ni kujiamini?
 
sasa kama mimi nikivaa kinguo changu kifupi napendeza,wewe mtazamaji inakuhusu nini,mwanamke kupendeza bana!kuolewa kusisababishe mtu kushindwa kujiweka vizuri!tusipovaa hivyo mume akikutana navyo anashawishika akhaaa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom