Eiyer nina miaka hamsini?kwani vp?Mama timmy ningependa kujua umri wako!
Kwa nini hauniamini?mpaka nikupe chati cha kuzaliwa?:bathbaby:I don't believe you!
Inawezekana amenunuliwa na mumewe. Kwani wamekuambia wanauza? Ukioa mke wako mkataze kuvaa nguo fupi, achana na wake za watu.
hii Ndio yenyewe, short and clear. Watu wanapenda Kweli kuapply viwango vyao kwenye maisha ya wengine. Ifike wakati tukubaliane kuwa mambo mengi hayana universal standard so unachodhani wewe ni sawa sio lazima mwenzio akione sawa na vice versa.
Hivi kumbe mwanamke ni kama duka..., lazima lifunguliwe kuonyesha bidhaa ili kuvutia wateja..!?
Wengine kuvaa nguo fupi ni kupenda awe ameolewa au hapana.
Nilibahatika kushuhudia mdada aliyevaa nguo fupi (Arusha mjini) akizomewa na kumwagiwa maji machafu! Alidhalilishwa na kudhalilika sana ila nadhani atakuwa hajarudia kosa kwa sababu alipata fundisho maishani kwake.
passion lady na Little Angel nimewapenda gafla mbarikiwe
hahaaa..nakumbuka siku moja kuna mbaba alibamiza gari yake kwenye packing kwa kunishangaa na kimini changu..lol nilimshangaa sana..sasa utashangaa wangapi daily jamani!
ila tusimseme sana inawezekana aliowaona yeye wanakaribia kuitwa bibi, coz umri nao inabidi tuangalie,kuna umri unafika mtu unapaswa ujue nguo za kuvaa la sivyo unageuka futuhi kwa watu Little angel!inawezekana Eiyer ndio aliokutana nao ikampa mshangazo kidogo!
hapo kama point ilikua afurahishe nafsi yake si kujali ya watu hata awe kikongwe ataendelea kujifurahisha tu
Pole sana.ila tambua kila mtu anamtazamo wake juu ya mavazi na mtazamo wangu mimi ni huo.kuna nguo za kuogelea,za job na hapa inategemea na Aina ya kazi unayofanya,za mazoezi,za mtoko,za kuingilia kwenye nyumba za ibada n.kkwa Hiyo mtu anatakiwa achague nguo kutokana na eneo husika.na uelewe kuwa unachokipenda wewe sicho akipendacho mwenzio wengine mavazi hayo wananunuliwa na waume zao na ndo wanapenda wavae hivyo.Mama timmy ,How could you saya those words?
'
Mwanamama mwenye miaka hamsini unashindwa kujua faida ya kuuhifadhi mwili wako!
'
Ni bora uwe umenidanganya,kama una umri huo kweli,it will be much worst!
passion lady na Little Angel nimewapenda gafla mbarikiwe
ila tusimseme sana inawezekana aliowaona yeye wanakaribia kuitwa bibi, coz umri nao inabidi tuangalie,kuna umri unafika mtu unapaswa ujue nguo za kuvaa la sivyo unageuka futuhi kwa watu Little angel!inawezekana Eiyer ndio aliokutana nao ikampa mshangazo kidogo!
kama comfort zone yangu ipo poa hata nikiwa na 80years napiga mini tu na bakora yanguuu huyoooo naelekea kitaa..
hahaaaaa!haya bna kila mtu na mtazamo wake!mradi figure ilipe tu!Eiyer atakua alikutana na figure za tembo thats y ikamshtua!